Mashabiki wa Yanga wakifuatilia timu yao wakati wa mchezo dhidi ya Stand United. Yanga ilishinda mabao 3-2.
Amissi Tambwe (kulia) wa Yanga, akikimbilia mpira na Revocatus Mgunga wa Stand United.
Amissi Tambwe (kushoto) wa Yanga, akijaribu kumpiga chenga Revocatus Mgunga wa Stand United.
Saimon Msuva (kulia), akimpongeza Mrisho Ngassa baada ya kuipatia bao la pili timu yake ya Yanga dhidi ya Stand United jana.
Yangnga ikiongoza kwa mabao 2 na Stand United ikiwa na bao 1.
Jisend Mathias (kushoto), akiuwahi mpira huku Saimon Msuva (kulia), akijaribu kumfuata.
Kpah Shaiman wa Yanga, akiwania mpira na mchezaji wa Stand United.
Mrisho Ngassa akijaribu kumpiga chenga mchezaji wa Stand United.
Wachezaji wa Stand United, wakimzonga mwamuzi kulalamikia kitendo cha rafu kilichofanywa na Mrisho Ngassa wa Yanga dhidi ya mchezaji wa timu hiyo, katika mchezo huo.
Wachezaji wa Stand United, wakimzonga mwamuzi kulalamikia.
Kocha wa Yanga, akizungumza na Juma Abdul.
Hadi mwisho wa mchezo huo, Yanga ilishinda mabao 3 na Stand United mabao 2. (Picha zote na Khamisi Mussa)

No comments:
Post a Comment