Mratibu wa Mpango wa Somesha Mtoto wa Mkulima wa zabibu unaodhaminiwa na Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distillaries LTD (TDL), Saimon Chibehe akizungumza jambo akizungumza na Wazazi, Walezi ambao ni wakulima wa zabibu pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mpunguzi iliyopo Manispaa ya Dodoma, mwishoni mwa wiki.
Mwanafunzi wa Kidato cha Tatu wa Shule ya Sekondari Mvumi, mkoani Dodoma, Nuru Peter akiwa katika shamba la Zabibu la Wazazi Wake wakati alipofika kumuonesha Mratibu wa Mpango wa Somesha mtoto wa Mkulima wa zabibu ulidhaminiwa na Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distillaries LTD (TDL) Saimon Chibehe (hayupo pichani) mwishoni mwa wiki.
No comments:
Post a Comment