TANGAZO


Wednesday, March 25, 2015

Yanga yaipiga JKT Ruvu mabao 3-1 Ligi Kuu ya Vodacom Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Mashabiki wa Yanga wakiishangilia timu yao wakati ilipocheza na timu ya JKT Ruvu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo. Yanga imeshinda mabao 3-1. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mrisho Ngassa (17) wa Yanga akijaribu kumpiga chenga Mohamed Faki wa JKT Ruvu wakati wa mchezo huo.
Damas Makwaya wa JKT Ruvu akiwania mpira na Danny Mrwanda wa Yanga.
Damas Makwaya wa JKT Ruvu akiwania mpira na Danny Mrwanda wa Yanga, wakati wa mchezo huo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Danny Mrwanda (katikati) wa Yanga akiwania mpira na Mohamed Faki (26) na Damas Makwaya wa JKT Ruvu.
Alex Abel wa JKT Ruvu akiwania mpira na Hussein Javu wa Yanga, wakati wa mchezo huo jijini leo.
Renatus Morris wa JKT Ruvu akiwania mpira na Hussein Javu wa Yanga, wakati wa mchezo huo.
Renatus Morris wa JKT Ruvu akiudhibiti mpira huku akizongwa na Hussein Javu wa Yanga, wakati wa mchezo huo.
Mrisho Ngassa wa Yanga akikimbilia mpira uliokuwa ukiwaniwa pia na Mohamed Faki wa JKT Ruvu.
Simon Msuva wa Yanga akiudhibiti mpira huku akizongwa na Renatus Morris wa JKT Ruvu.
Hussein Javu wa Yanga akiwania mpira na Renatus Morris wa JKT Ruvu, wakati wa mchezo huo.
Hussein Javu wa Yanga akiwania mpira na Renatus Morris wa JKT Ruvu, wakati wa mchezo huo.
Hussein Javu wa Yanga akiwania mpira na Renatus Morris wa JKT Ruvu, wakati wa mchezo huo.
Hussein Javu wa Yanga akiwania mpira na Renatus Morris wa JKT Ruvu, wakati wa mchezo huo.
Ubao wa matangazo ukionesha JKT Ruvu 1 na Yanga 3.
Danny Mrwanda (kulia), akimpongeza Simon Msuva wote wa Yanga wakati wakishangilia bao aliloifungia timu yake, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya JKT Ruvu, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Simon Msuva wa Yanga akishangilia bao aliloifungia timu yake, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya JKT Ruvu, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment