TANGAZO

Sunday, March 15, 2015

Wakimbizi kutoka Ethiopia wakamatwa mkoani Dodoma

Wahamiaji Wasio halali walioingia nchini bila kibali wakitokea Ethiopia wakipakiwa kwenye Basi la Polisi kuhamishiwa kwenye hifadhi iliyopo Kizota, mkoani Dodoma kabla ya taratibu zingine za kipolisi kufuata. 
Mmoja wa wahamiaaji wasio halali waliokamatwa wilayani Chemba, mkoani Dodoma walipokuwa wakijaribu kuvuka wakitokea, Manispaa ya Moshi kwaenda Mbeya akitundikiwa Dripu ya maji katika hema la Polisi, mkoani Dodoma leo.

Kamanda wa Polisi Mkoani Dodoma akizungumza na waandishi wa habari kuhusu namna walivyokamatwa wakimbizi hao.
Raia kutoka nchini Ethiopia wakiwa wamepuzishwa katika Kituo Kikuu cha Polisi, Mjini Dodoma baada ya kukamatwa wilayani Chemba, wakiwa porini baada ya lori walilokuwa wakisafirishiwa kuharibika njiani na kisha kushushwa na kuingia vichakani kabla ya kukamatwa. (Picha zote na John Banda) 

No comments:

Post a Comment