TANGAZO


Sunday, March 15, 2015

Mashindano ya Netiboli Afrika Mashariki yafunguliwa leo mjini Zanzibar

TIMU zinazoshiriki mashindano ya kuwania ubingwa wa netiboli klabu bingwa Afrika Mashariki zikipita mbele ya mgeni rasmi, Waziri wa Habari , Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar, Said Ali Mbarouk wakati wa ufunguzi wa mashindano hayo, yalioanza leo katika Uwanja wa Gymkhana, mjini Zanzibar. (Picha zote na Haroub Hussein).
Timu ya Zanzibar ikipita katika ufunguzi huo mjini Zanzibar leo. 
 Timu ya Kenya ikipita.
Uhamiaji ya Tanzania ikipita mbele ya Waziri na wageni mbalimbali. 
JKT Ruvu ya Tanzania ikipita 
Timu ya Uganda KCCA

No comments:

Post a Comment