Rais Jakaya Kikwete, akipokewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, wakati alipofika Kwamnyamani, Buguruni kuwafariji wahanga wa mafuriko na kukagua kalavati la kupitishia majitaka kutoka Buguruni na Vingunguti kwenda Bonde la Msimbazi, jijini leo.
Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na baadhi ya viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, wakati alipofika Kwamnyamani, Buguruni kuwafariji wahanga wa mafuriko na kukagua kalavati la kupitishia majitaka kutoka Buguruni na Vingunguti kwenda Bonde la Msimbazi, jijini leo.
Rais Jakaya Kikwete, akioneshwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, mipira ya kutolea maji ya pumpu zilizowekwa sehemu ambapo kalavati la majitaka limeziba kwa ajili ya kusaidia kutoa maji hayo, kuyapeleka Bonde la Msimbazi, maeneo ya Kwamnyani, Buguruni, wakati alipokwenda kuwapa pole waathirika wa mafuriko, wakazi wa Kwamnyamani na kukagua kalavati hilo, jijini leo. Rais Jakaya Kikwete (wapili kulia), akielezwa jambo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, namna mafuriko yalivyowapata wakazi wa Kwamnyamani Buguruni, wakati alipofika leo kuwafariji waathirika wa mafuriko na kukagua kalavati hilo, jijini leo. Kulia ni mke wa Rais, Mama Salma Kikwete.
Rais Jakaya Kikwete, akiwa na mkewe, Mama Salma (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, wakati alipofika Buguruni Kwamnyamani, kuwapa pole waathirika wa mafuriko, jijini leo.
Rais Jakaya Kikwete, akiwa na mkewe, Mama Salma (kulia) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, wakienda kukagua kalavati lililoziba na kusababisha mafuriko Buguruni Kwamnyamani.
Rais Jakaya Kikwete na mkewe, Mama Salma pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, wakienda sehemu ambapo kalavati la majitaka lililoziba, linapomwaga maji hayo, Bonde la Msimbazi kutoka maeneo ya Kwamnyani, Buguruni na Vingunguti, wakati alipofika kuwapa pole waathirika wa mafuriko, wakazi wa Kwamnyamani na kukagua kalavati hilo, jijini leo.
Rais Jakaya Kikwete, akielezwa jambo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, wakati wakielekea sehemu ambapo kalavati la majitaka lililoziba, linapomwaga maji hayo, Bonde la Msimbazi kutoka maeneo ya Kwamnyani, Buguruni na Vingunguti, wakati alipokwenda kuwapa pole waathirika wa mafuriko, wakazi wa Kwamnyamani na kukagua kalavati hilo, jijini leo. Kushoto kwake ni mke wake, Mama Salma.
Rais Jakaya Kikwete, mkewe, Mama Salma na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, wakielekea sehemu ambapo kalavati la majitaka lililoziba, linapomwaga maji hayo, Bonde la Msimbazi.
Rais Jakaya Kikwete (wapili kulia), akioneshwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, sehemu ambapo kalavati la majitaka lililoziba, linapomwaga maji hayo, Bonde la Msimbazi kutoka maeneo ya Kwamnyani, Buguruni na Vingunguti, wakati alipokwenda kuwapa pole waathirika wa mafuriko, wakazi wa Kwamnyamani na kukagua kalavati hilo, jijini leo. Kulia ni mke wa Rais, Mama Salma Kikwete.
Rais Jakaya Kikwete, akielezwa jambo na Mhandisi wa Kichina wa Kampuno ya ujenzi ya CRJE, wanaosaidia kuyatoa maji taka kwenye makazi ya watu wakati alipofika sehemu ambapo kalavati la majitaka limeziba, kuangalia athari zilizotokana na mafuriko, kuwafariji waathirika pamoja na kuangalia kalavati hilo.
Rais Jakaya Kikwete, akiongea na waathirika wa mafuriko, wakazi wa Kwamnyamani mara alipofika kuwafariji na kukagua kalavati lililoziba na kusababishamafuriko hayo, jijini leo.
Rais Jakaya Kikwete, akiongea na waathirika wa mafuriko, wakazi wa Kwamnyamani Bugurubi mara alipofika kuwafariji na kukagua kalavati lililoziba na kusababisha mafyriko hayo jijini leo.
No comments:
Post a Comment