Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akihutubia wajumbe wa Kikao cha 68 cha Kamati ya Utendaji ya Umoja wa Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola [Commonwealth Parliamentary Association (CPA)] wa Kanda ya Afrika kinachofanyika katika Hotel ya Ledger Plaza, Kunduchi Beach, jijini Dar es Salaam Tanzania.

Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda (wapili kushoto) na Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji ya Umoja wa Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola [Commonwealth Parliamentary Association (CPA)] wa Kanda ya Afrika Mhe. Lindiwe Maseko (watatu kushoto) kutoka Bunge la Afrika Kusini wakiwa na baadhi ya Wajumbe wa Kikao cha 68 cha Kamati ya Utendaji ya Umoja wa Mabunge wa nchi hizo.
Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda na Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji ya Umoja wa Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola [Commonwealth Parliamentary Association (CPA)] wa Kanda ya Afrika Mhe. Lindiwe Maseko kutoka Bunge la Afrika Kusini wakiongoza kikao hicho leo jijini Dar.
Wajumbe wa Kikao cha 68 cha Kamati ya Utendaji ya Umoja wa Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola [Commonwealth Parliamentary Association (CPA)] wa Kanda ya Afrika wakishiriki kikao hicho.
Wajumbe wa Kikao cha 68 cha Kamati ya Utendaji ya Umoja wa Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola wa Kanda ya Afrika wakishiriki kikao hicho. Mmoja wa wajumbe wa Kikao cha 68 cha Kamati ya Utendaji ya Umoja wa Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola wa Kanda ya Afrika akishiriki kikao hicho.
No comments:
Post a Comment