Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum, akitoa ufafanuzi juu ya maswali ya Wabunge.
Kamishna wa Sensa Tanzania, Hajjat Amina Mrisho, akizungumza katika semina hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dkt. Albina Chuwa akiwasilisha mada, wakati wa semina hiyo kwa Wabunge.
Waziri wa Uchukuzi Samuel Sitta, ambaye amemuwakilisha Mgeni Rasmi wa Semina hiyo, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akiwa na Waziri wa Fedha Saada Mkuya.
Mbunge wa Jimbo la Mkanyageni, Mohamed Habibu Mnyaa, akichangia mada katika semina hiyo.
Waziri wa Sheria na Katiba Selina Kombani, akichangia kwenye semina hiyo.
Baadhi ya Wabunge waliohudhutia semina hiyo, wakisikiliza mada iliyokuwa ikitolewa kwenye semina hiyo. (Picha zote na Hussein
Makame-MAELEZO, Dodoma)










No comments:
Post a Comment