Mashabiki wa Yanga wakishangilia timu yao, dhidi ya Ndanda SC ya Lindi, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Simon Msuva (kushoto) wa Yanga akipambana Aziz Sibo wa Ndanda SC wakati wa mchezo huo.
Aziz Sibo (kushoto) wa Ndanda SC, akiwania mpira na Hassan Dilunga wa Yanga.
Paul Ngalema wa Ndanda FC, akiwania mpira Juma Abdul (kushoto) wa Yanga wakati wa mchezo huo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Paul Ngalema wa Ndanda FC, akimdhibiti Juma Abdul wa Yanga wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Paul Ngalema wa Ndanda SC, akiudhibiti mpira ulikuwa ukiwaniwa na Juma Abdul wa Yanga.
Zabron Raymond wa Ndanda SC, akiudhibiti mpira uliokuwa ukiwaniwa na Kpah Sherman wa Yanga.
Zabron Raymond wa Ndanda SC na Kpah Sherman wa Yanga, wakiwania mpira.
Kpah Sherman wa Yanga, akitafuta mbinu ya kumtoka Paul Ngalema wa Ndanda SC.
Kpah Sherman wa Yanga, akijaribu kumzuiya Paul Ngalema wa Ndanda SC, wakati wa mchezo huo.
Dan Mrwanda wa Yanga, akijaribu kumtoka Zabron Raymond wa Ndanda SC.
Dan Mrwanda wa Yanga akijaribu kuudhibiti mpira uliokuwa ukiwaniwa na Zabron Raymond wa Ndanda SC.
Dan Mrwanda wa Yanga na Zabron Raymond wa Ndanda SC, wakiwania mpira.
Dan Mrwanda wa Yanga akimtoka Zabron Raymond wa Ndanda SC.
Paul Ngalema (kulia) wa Ndanda SC, akiwania mpira na Kpah Sherman wa Yanga wakati wa mchezo huo.
Haya ndiyo matokeo ya mchezo huo, uliokuwa wa upinzani mkubwa.
Jacob Massawe wa Ndanda SC, akimtoka Juma Abdul wa Yanga, wakati wa mchezo huo.
Zabron Raymond wa Ndanda SC, akijaribu kumpiga chenga Kpah Sherman wa Yanga.
Zabron Raymond wa Ndanda SC, akiwania mpira na Dan Mrwanda wa Yanga.
Simon Msuva wa Yanga, akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Aziz Sibo wa Ndanda SC.
Simon Msuva wa Yanga, akiudhibiti uliokuwa ukiwaniwa na Aziz Sibo wa Ndanda SC.
Mashabiki wa Ndanda SC, wakishangilia timu yao, wakati wa mchezo huo.
Hamis Tambwe wa Yanga na Masoud Ally wa Ndanda SC, wakikimbilia mpira.
Mmoja wa wachezaji wa Ndanda SC, akiwa amedondoka baada ya kugongwa na mchezaji wa Yanga.
Mashabiki wa Ndanda SC, wakishangilia timu yao hiyo, wakati wa mchezo dhidi ya Yanga.
Waamuzi wa mchezo huo, wakitoka nje ya Uwanja baada ya kumalizika mchezo huo, huku kocha wa Yanga, Hans Pluijm (kushoto), akiwaangalia kwa hasira.
Mashabiki wa Ndanda SC, wakishangilia timu yao, baada ya kumalizika kwa mchezo dhidi ya Yanga, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
| Mashabiki wa Ndanda SC, wakishangilia timu yao, baada ya kumalizika kwa mchezo dhidi ya Yanga, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. |

No comments:
Post a Comment