Kikosi cha Timu ya Taifa ya Jangombe (Wakombozi wa Ngambo), kinachoshiriki Kombe la Mapinduzi, kimechukua nafasi ya Timu ya SC.Villa ya Uganda baada ya kushindwa kuwasili na kushiriki mashindano hayo. (Picha zote kwa hisani ya ZanziNews Blog)
Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi mepesi kujiandaa na mchezo wao wa kwanza wa Kombe la Mapinduzi wakicheza na timu ya Taifa ya Jangombe.
Mwakilishi wa Mfenesini Zanzibar Mhe. Ali Abdalla akisalimiana na Kamisaa wa Mchezo wa Yanga na Taifa ya Jangombe, uliochezwa jana usiku timu ya Yanga imeshinda 4-0.
Mwakilishi wa Jimbo la Mfenesini Zanzibar, akiwasalimia wachezaji wa timu ya Yanga kabla ya kuaza mchezo wao na trimu ya Taifa ya Jang'ombe, uliofanyika uwanja wa Amaan.
Mwakilishi wa Jimbo la Mfenesini Zanzibar, akiwasalimia wachezaji wa timu ya Taifa ya Jang'ombe kabla ya kuaza mchezo wao na trimu ya Taifa ya Jangombe, uliofanyika Uwanja wa Amaan.
Wapigapicha za michezo wakifuatilia mchezo wa Kombe la Mapinduzi kati ya Yanga na Taifa ya Jangombe, uliofanyika Uwanja wa Amaan usiku wa kuamkia leo. Katika mchezo huo Yanga imeshinda mabao 4-0.
Wachezaji wa timu ya Yanga wakisalimiana na wachezaji wa Timu ya Taifa ya Jangombe kabla ya kuaza kwa mpambano huo uliofanyika uwanja wa Amaan, timu ya Yanga imeshinda kwa mabao 4-0.
Kikosi cha Yanga.
Kikosi cha Taifa ya Jang'ombe.
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Jang'ombe wakipatiwa maelezo na mwalimu wao kabla kuanza kwa mchezo kati yao dhidi ya Yanga ya Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo, Uwanaja wa Aman, mjini Zanzibar.
Purukushani kwenye lango la Taifa ya Jang'ombe.
Makocha wa Yanga wakifuatilia mchezo huo.
Mshambuliaji wa Yanga Halfan Ngasa akimpita beki wa timu ya Taifa ya Jangombe. wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi timu ya Yanga imeshinda 4-0.
No comments:
Post a Comment