TANGAZO

Monday, January 26, 2015

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Sihaba Nkinga, azindua Chama cha Maofisa Mawasiliano Serekalini (TAGCO)

Mwenyekiti wa Muda wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO), Bw. Innocent Mungy akisoma Taarifa fupi ya Chama hicho kabla ya uzinduzi leo Mjini Mtwara.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiongea na Maafisa habari Kabla ya Kuzindua Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO),  ambapo aliwataka kuwa na umoja na Mshikamano ili kukijenga na kukiendeleza chama hicho kitakachosaidia kukuza taaluma na weledi  katika utendaji wa kazi leo Mjini Mtwara.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Chama hicho. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idaraya Habari (MAELEZO), Bw. Assah Mwambene kushoto kwa Katibu Mkuu ni Mwenyekiti wa chama hicho, Bw. Innocent Mungy na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Bi. Sylvia Lupembe.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Chama hicho. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idaraya Habari (MAELEZO), Bw. Assah Mwambene kushoto kwa Katibu Mkuu ni Mwenyekiti wa chama hicho, Bw. Innocent Mungy na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Bi. Sylvia Lupembe. (Pichana Hassan Silayo) 

No comments:

Post a Comment