TANGAZO


Monday, January 26, 2015

DK.Shein afungua Kongamano Maalum la CCM Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa CCM alipowasili katika Skuli ya  Fidel Castro leo kufungua Kongamano maalum la Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Mikoa na wasomi wa Vyuo vikuu vya Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akifuatana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Hamadi Bakari Mshindo mara alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Fidel Castro leo kufungua Kongamano maalum la Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wa Mikoa na wasomi wa Vyuo vikuu vya Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai(katikati) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Hamadi Bakari Mshindo (kushoto) Katibu wa Kamati  Maalum wa Idara ya SUKI Eng. Hamadi Yussuf Masauni (kulia) wakiwa katika Kongamano maalum la Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Mikoa na wasomi wa Vyuo vikuu vya Pemba lililofanyika leo katuka ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba. 
Washiriki wa Kongamano maalum la Wanachama wa CCM wa Mikoa na wasomi wa Vyuo vikuu vya Pemba wakimkaribisha  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein alipowasili katika ukumbi wa Fidel Casrto Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba kufungua Kongamano hilo leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitoa  hutuba  yake ya ufunguzi wa Kongamano maalum la Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Mikoa na wasomi wa Vyuo vikuu vya Pemba leo katika ukumbi wa Skuli ya Fidel Casrto Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba. 




Baadhi ya washiriki wa Kongamano maalum la Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wa Mikoa na wasomi wa Vyuo vikuu vya Pemba, wakiwa kwenye kongamano hilo leo.(Picha zote kwa hisani ya ZanziNews) 

No comments:

Post a Comment