TANGAZO


Saturday, January 3, 2015

Benki ya Watu wa Zanzibar lakabidhi mabasi 3 kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ), Juma Amour Mohamed akikata utepe kama ishara ya kukabidhi mabasi matatu kwa Meneja wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar, Bi. Zaina Ibrahim Mwalukuta (kushoto), yaliyotolewa na benki hiyo kwa ajili ya kubebea abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume, yenye thamani ya sh. milioni 320. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko wa PBZ, Seif Suleiman. (Picha zote na Mpigapicha Maalum) 
Moja ya mabasi yaliyotolewa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ), likiwa limebea tayari wasafiri wanaokwenda kupanda ndege katika Kiwanja cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume Kama linavyoonekanwa pichani.

No comments:

Post a Comment