TANGAZO


Sunday, December 28, 2014

Yanga, Azam FC hakuna mbabe, zatoka sare ya mabao 2-2 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam


Kelvin Yondani wa timu ya Yanga, akijaribu kumzuia Didier Kavumbagu wa Azam FC, wakati timu hizo zipopambana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Katika mchezo huo, timu hizo zilitoka sare kwa kufungana mabao 2-2. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mashabiki wa Azam FC, wakifuatilia mchezo huo kati ya timu hiyo na Yanga Africa FC, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
 Ubao wa matangazo ukionesha timu hizo zikiwa zimefungana bao 1-1.
Simon Msuva wa Yanga akishangilia bao 2 kwa timu yake, alilolifunga katika mchezo huo na kuifanya timu yake kuwa mbele kwa mabao 2 dhidi ya 1 la Azam FC.
Simon Msuva wa Yanga akishangilia mbele ya mashabiki wa Azam bao 2 kwa timu yake, alilolifunga katika mchezo huo na kuifanya timu yake kuwa mbele kwa mabao 2 dhidi ya 1 la Azam FC.
 Simon Msuva na Haruna Niyonzima wakishangilia bao hilo.
 Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao hilo la pili kwa timu yao.
  Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao hilo la pili kwa timu yao.
Ubao wa Matangazo ukionesha Yanga mabao 2 na Azam FC bao 1.
Himid Mao wa Azam FC, akimtoka mchezaji Nadir Haroub 'Canavaro' wa Yanga katika mchezo huo.
Wachezaji wa Yanga wakiwa na mpira huku wakifuatwa na Himidi Mao (nyuma) wa Azam FC.
Nadir Haroub 'Canavaro' wa Yanga, akiudhibiti mpira huku akifutwa na Himid Mao wa Azam FC.
Mbuyu Twite wa Yanga, akiudhibiti mpira huku akifutwa na Himid Mao wa Azam FC.
Nadir Haroub 'Canavaro' wa Yanga, akiudhibiti mpira huku akifutwa na Aggrey Morris (kushoto) na Himid Mao (katikati) wa Azam FC.
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo huo.
Mashabiki wa Yanga wakizozana na mashabiki wa Simba wakati wa mchezo huo.
Mashabiki mchanganyiko wa Yanga na Azam wakifuatilia mchezo kati ya timu hizo leo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo huo.
Mashabiki wa Yanga wakifurahia mchezo huo.
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo huo.
Kelvin Yondani akikimbilia mpira na Erasto Nyoni wa Azam FC.
Kelvin Yondani akimzuia kwa kila hali Didier Kavumbagu wa Azam FC.
Kelvin Yondani na Didier Kavumbagu wa Azam FC, wakiwania mpira huo.
Kelvin Yondani akiwania mpira na Didier Kavumbagu.
Didier Kavumbagu na Mbuyu Twite wakipambana katika mchezo huo.
Didier Kavumbagu wa Azam FC akijaribu kumpita Kelvin Yondani wa Yanga.
Didier Kavumbagu wa Azam FC akijaribu kumpiga chenga Kelvin Yondani wa Yanga.
John Boko (hayupo pichani akiisawazishia timu yake ya Azam FC.
Mpira ukiwa umeshampita golkipa wa Yanga, Deogratias Munisi na hivyo Azam FC kusawazisha na kuzifanya timu hizo kuwa sare kwa kufungana mabao 2-2.
Didier Kavumbagu akifurahia pasi yake aliyompatia John Boko na kuisawazishia timu yake hiyo katika mchezo huo, uliomalizika kwa kufungana mabao 2-2 mpaka mwisho wa mchezo.
Wachezaji wa Azam FC wakishangilia bao hilo la kusawazisha.
Wachezaji wa Azam FC wakishangilia bao lao la kusawazisha dhidi ya Yanga FC.
Wachezaji wa Azam FC wakirudi uwanjani baada ya kushangilia bao lao la kusawazisha dhidi ya Yanga FC.
Ubao wa matangazo ukionesha Yanga Africa mabao 2 na Azam FC mabao 2.
Mashabiki wa Yanga wakiwa kimya baada ya Azam FC kufunga bao la kusawazisha.
Mashabiki wa Yanga wakiwa wamechanganyikiwa baada ya Azam FC kufunga bao la kusawazisha katika mchezo huo.
Wachezaji wa Yanga wakiwa wamejazana kuangalia mchezo kati ya timu hizo.
Himid Mao akiwahi mpira huku akijizuiya asidondoke.
Golikipa wa Azam FC, Mwadini Ali, akipangua mpira wa kona uliopigwa kuelekezwa langoni kwake  wakati wa mchezo huo.
Mpaka mwisho wa mchezo mabao yalikuwa ni 2-2 na hivyo timu hizo kugawana pointi moja kila moja.

No comments:

Post a Comment