Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya marehemu Sheikh Ali Mzee Komorian, alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa jana JumapiliDesemba 29, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika dua na familia ya marehemu Sheikh Ali Mzee Komorian alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa jana Jumapili, Desemba 29, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya marehemu Sheikh Ali Mzee Komorian alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa jana Jumapili Desemba 29, 2014.
No comments:
Post a Comment