TANGAZO


Tuesday, December 30, 2014

Ratiba Kombe la Mapinduzi yatolewa

*Simba, Yanga Azam, zathibitisha kushiriki 
*Kuanza Januari 1, 2015, Uwanja wa Aman, Zanzibar

Katibu wa Kamati ya Mapinduzi Cup Ndg Khamis Abdalla Said, akitowa ratiba ya Kombe la Mapinduzi Cup mbele ya waandishi wa habari za Michezo Zanzibar katika ukumbi wa uwanja wa amaan Zanzibar, Ratiba hiyo inaaza na michezio ya Ufunguzi, itakayofanyika tarehe ijanuari 2015. (Kwa hisani ya ZanNinews)

Alhamis 1 Januari 2015 
Jioni Saa 9:00      JKU vs MAFUNZO.  --         KUNDI.      C
Jioni Saa.11:00.   POLISI VS SHABA.              KUNDI .     A
Usiku Saa 2:15.     SIMBA VS MTIBWA.          KUNDI      C

Ijumaa 2 Jan 2015 
Jioni saa 10:00  KMKM VS MTENDE              KUNDI        B
Usiku Saa 2:00 KCC VS AZAM.                        KUNDI       B

Jumamosi 3Jan 2015.
Jioni Saa 10:00 JKU VS MTIBWA                  KUNDI       C
Usiku Saa 2:00 YANGA VS SC.VILLA             KUNDI      A

Jumapili  4 Jan 2015                           
Jioni saa 9:00 KCC VS MTENDE                        KUNDI    B
Jioni saa 11:00 KMK VS AZAM.                          KUNDI    B 
Usiku saa 2:15. MAFUNZO VS SIMBA                KUNDI    C 

Jumatatu 5 Jan 2015                     
Jioni saa 10;00 SC VILLA VS SHABA               KUNDI    A
Usiku saa 2:00 YANGA VS POLISI                     KUNDI    A

Jumanne 6 Jan 2015
Jioni saa 9:00 AZAM VS MTENDE                   KUNDI     B
Jioni saa 11: 00  MTIBWA VS MAFUNZO        KUNDI     C 
Usiku saa 2:15. SIMBA VS JKU                           KUNDI    C

Jumatano 7 Jan 2015
Jioni saa 9;00  POLISI VS SC VILLA                KUNDI      A 
Jioni saa 11:00  KCC VS KMKM                         KUNDI     B
Usiku saa 2:15. YANGA VS SHABA                  KUNDI      A

Alhamisin 8 Jan 2015.
Jioni saa 10:00  WINNER B VS RUNNERS  A.
Usiku saa 2:00 WINNER  A VS BEST LOOSER 1

Ijumaa 9 Jan 2015
Jioni saa 11:00 WINNER C VS BEST LOOSER 2
Usiku saa 2;00 RUNNERS  B VS RUNNERS C.

Jumapili 11 Jan 2015.
SEMIFINAL 1 
Jioni saa 10:00. WINNER 1 VS WINNER 2
SEMIFANAL 2
Usiku saa 2:00  WINNER  3 VS WINNER 4
 Tarehe 13/1/2015 itakuwa fainali ya michuano hiyo itakayofanyika usiku katika uwanja wa amaan Zanzibar. kuhitimisha michuano hiyo. 
Katibu wa Kamati ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar Ndg Khamis Abdalla Said akizungumza na waandishi wa habari wa michezo Zanzibar kwa kukamilika kwa Maandalizi ya Kombe la Mapinduzi linalotarajhiwa kutimua Fumbi Januari 1, 2015 katika Uwanja wa Amaan Zanzibar na kuzitaja timu zitakazoshiriki michuano hiyo.
Amezitaji timu hizo sita kutoka nje ya Zanzibar na sita kutoka Zanzibar na kusema kutakuwa na makundi matatu kila kundi litakuwa na timu Nne.Amezitaja timu hizo kuwa Yanga, Simba,Azam,Mtibwa Sugar kutoka Tanzania Bara na KCC, na Sport Club Villa zote kutoka Uganda, Timu za Zanzibar zitakazoshiriki michuano hiyo KMKM, Mtende Ranger, Shaba, Polisi, JKU na Mafunzo kutoka Zanzibar 
Ameyataja makundi na timu zake.

 Kundi A litakuwa na timu za  SPORT CLUB VILLA,  YANGA, POLISI,  SHABA.

Kundi B litakuwa na timu za  KCC  AZAM  KMKM na MTENDE.

Kundi C litakuwa na timu SIMBA, MTIBWA, JKU, na MAFUNZO.
Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo na Katibu wa Kamati ya Kombe la Mapinduzi.
Mwandishi Mwinyimvua Nzukwi akizungumza jambo wakati wa mkutano huo.

No comments:

Post a Comment