Washiriki ambao ni waalimu wa Vyuo mbalimbali
kisiwani Pemba, kikiwemo chuo cha amali Vitongoji Chakechake, wakimsikiliza
Afisa wa mafunzo ya amali Pemba, mwalimu Othman Zaidi Othman wakati akielezea
umuhimu wa mafunzo kwa waalimu hao, juu ya namna ya kuandaa mitihani kwa njia
ya kisasa (Picha zote na Haji Nassor, Pemba)
Ofisa Mafunzo ya amali Pemba, Mwalimu Othman
Zaidi Othman, wakati akielezea umuhimu wa mafunzo kwa waalimu wa vyuo mbali
mbali kikiwemo cha mafunzo ya amali Pemba, juu ya namna ya kuandaa mitihani kwa
njia ya kisasa na utoaji matokeo.
Mratibu wa Mamlaka ya Mafunzo ya amali Pemba mwalimu
Juma Suleiman, akimkabidhi mmoja wa waalimu wa vyuo mbali mbali ambao
wamemaliza mafunzo yao ya siku kumi ya kuwapa mbinu waalimu ya usomeshaji na
utungaji mitihani kitaalamu.
No comments:
Post a Comment