TANGAZO


Thursday, December 25, 2014

Lowassa ahudhuria Ibada ya Krismas mjini Zanzibar

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na mkewe Regina wakiwa na mjukuu wao, Angelica Freddy katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar walipohudhuria ibada ya Skukuu ya Krismasi leo.
Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, Regina (kulia), akiwasalimia waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar walipohudhuria ibada ya Skukuu ya Krismasi leo. 
Waumini wakifuatilia neno kwenye Biblia wakati wa Ibada hiyo leo.
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na mkewe Regina wakiwa na mjukuu wao, Angelica Freddy wakisoma Biblia katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar walipohudhuria ibada ya Skukuu ya Krismasi leo.
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar alipohudhuria ibada ya Skukuu ya Krismasi leo. Kulia ni Mchungaji wa Kanisa hilo, Philip Mvungi. (Picha zote na Mpigapicha Wetu)

No comments:

Post a Comment