TANGAZO


Thursday, December 25, 2014

Waumini wa Dini ya Kikristo Zanzibar Wajumuika katika Ibada ya Krismas. Farther Charles Lundu akiendesha Ibada ya Krismas , kwa lugha ya kiingereza katika Kanisa la Anglikana Mkunazini iliohudhuriwa na waumini mbali mbali kutoka nje ya Zanzibar wakiwa katika matembezi yao na kuhudhuria Ibada hiyo. iliofanyika katika kanisa hilo leo asubuhi. Waumini wakiwa katika Ibada ya Krismas katika Kanisa la Anglikana Mkunazini Zanzibar, wakijumuika na waumini wengine duniani kuadhim isha kuzaliwa kwa Yesu. Waumini wakiwa katika Ibada ya Krismas katika Kanisa la Anglikana Mkunazini Zanzibar, wakijumuika na waumini wengine duniani kuadhim isha kuzaliwa kwa Yesu. Waumini wa Kanisa la Anglikana Mkunazini wakiwa katika Ibada ya Krismas leo asubuhi kuadhimisha kwa kuzaliwa Yesu.. Waumini wa Kanisa la Anglikana Mkunazini Zanzibar wakipeana mkono wa kheri baada ya kumaliza Ibada ya Krismas ilioendeshwa kwa lugha ya kiingereza na Farther Charles Lundu, ikiwa ni maadhimisho ya kuzaliwa kwa Yesu. Farther Charles Lundu akiwasalimia waumini na kupeana mkono wa kheri baada ya kuadhimisha Ibada ya Krismas katika Kanisa la Mkunazini Zanzibar, wakiungana na Waumini wa madhehebu mbalimbali Duniani kuadhimishi siku hii Mchungaji Filipo Mvungi akiongoza Ibada ya Krismas kwa kuadhimisha kuzaliwa kwa Yesu, iliofanyika katika Kanisa hilo la KKKT Mwanakwerekwe Dayosisi ya Zanzibar na kuhudhuriwa na waumini wa kanisa hilo ikiwa ni kuadhimisha siku hiyo ya kuzaliwa kwa Yesu. WAUMINI wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Zanzibar Mwanakwerekwe Unguja wakiwa katika Ibada ya Krismas iliongozwa na Mchungaki Filipo Mvungi na kuungana na waumini wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo duniani katika kuadhimishi siku ya kuzaliwa kwa Yesu.

Farther Charles Lundu akiendesha Ibada ya Krismas , kwa lugha ya kiingereza katika Kanisa la Anglikana Mkunazini  iliohudhuriwa na waumini mbali mbali kutoka nje ya Zanzibar wakiwa katika matembezi yao na kuhudhuria Ibada hiyo. iliofanyika katika kanisa hilo leo asubuhi.
Waumini wakiwa katika Ibada ya Krismas katika Kanisa la Anglikana Mkunazini Zanzibar, wakijumuika na waumini wengine duniani kuadhim isha kuzaliwa kwa Yesu.
Waumini wakiwa katika Ibada ya Krismas katika Kanisa la Anglikana Mkunazini Zanzibar, wakijumuika na waumini wengine duniani kuadhim isha kuzaliwa kwa Yesu.
Waumini wa Kanisa la Anglikana Mkunazini wakiwa katika Ibada ya Krismas leo asubuhi kuadhimisha kwa kuzaliwa Yesu..
Waumini wa Kanisa la Anglikana Mkunazini Zanzibar wakipeana mkono wa kheri baada ya kumaliza Ibada ya Krismas ilioendeshwa kwa lugha ya kiingereza na Farther Charles Lundu, ikiwa ni maadhimisho ya kuzaliwa kwa Yesu. 
Farther Charles Lundu akiwasalimia waumini na kupeana mkono wa kheri baada ya kuadhimisha Ibada ya Krismas katika Kanisa la Mkunazini Zanzibar, wakiungana na waumini wa madhehebu mbalimbali Duniani kuadhimishi siku hii ya Krismasi. 
Mchungaji Filipo Mvungi akiongoza Ibada ya Krismas kwa kuadhimisha kuzaliwa kwa Yesu, iliofanyika katika Kanisa hilo la KKKT Mwanakwerekwe Dayosisi ya Zanzibar na kuhudhuriwa na waumini wa kanisa hilo ikiwa ni kuadhimisha siku hiyo ya kuzaliwa  kwa Yesu.
WAUMINI wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Zanzibar Mwanakwerekwe Unguja wakiwa katika Ibada ya Krismas iliongozwa na Mchungaki Filipo Mvungi na kuungana na waumini wa madhehebu mbalimbali ya kikristo duniani katika kuadhimishi siku ya kuzaliwa kwa Yesu. (Picha zote kwa hisani ya Ramadhan Maulid)

No comments:

Post a Comment