TANGAZO

Monday, December 15, 2014

BUNGE LAANDAA SEMINA MAALUMU KUHUSU UMUHIMU WA KUWA NA MPANGO MKAKATI WA MAWASILIANO NA NAMNA BORA YA KUPOKEA MAONI YA WADAU WAKATI WA KAMATI ZAKE

Mkurugennzi msaidizi katika Idara ya Kamati kutoka Ofisi ya Bunge Ndg. Angumbwike Ng'wavi akitoa Mada kuhusu umuhimu kuwa na taarifa za  pamoja za kibunge kwa ajili ya wadau mbalimbali wa Bunge  na namna ya utekelezaji wake wakati wa Semina ya kuwajengea uwezo wadau wa Bunge kutoka Serikarini na taasisi binafisi. Semina hiyo imeandaliwa na Bunge kupitia mradi wake wa kuwajengea Wabunge na Watumishi uwezo unaofadhiliwa na UNDP.
 Maofisa wa Serikali pamoja na Wadau mbalimbali wa Bunge wakifuatilia mada hiyo kwa makini.
Ofisa Habari wa Bunge Ndg. Owen Mwandumbya akitoa Mada kuhusu umuhimu wa Bunge kuwa na Mpango Mkakati wa Mawasiliano  wakati wa Semina ya kuwajengea uwezo wadau wanaofanya kazi na Bunge kutoka Serikarini na Taasisi binafisi. Semina hiyo imeandaliwa na Bunge kupitia mradi wake wa kuwajengea Wabunge na Watumishi uwezo unaofadhiliwa na UNDP iliandaliwa kwa lengo la kuanisha changamoto zitazolikabili Bunge kushirikiana na wadau wake.

No comments:

Post a Comment