Waziri wa Uchukuzi, Harrison Mwakyembe, akizungumza na wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania, wakati alipofika kwenye Karakana ya shirika hilo kwa ajili ya kuwasikiliza matatizo yao mbalimbali yanayowakabili sehemu zao za kazi, Dar es Salaam leo. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika hilo, Severine Kaombwe na kulia ni Mjumbe wa Bodi hiyo, Dk. Malima Bundala. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Waziri wa Uchukuzi, Harrison Mwakyembe, akizungumza na wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania, wakati alipofika kwenye Karakana ya shirika hilo kwa ajili ya kuwasikiliza matatizo yao mbalimbali yanayowakabili sehemu zao za kazi, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Shaaban Mwinjaka na kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika hilo, Severine Kaombwe.
Waziri wa Uchukuzi, Harrison Mwakyembe, akizungumza na wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania, wakati alipofika kwenye Karakana ya shirika hilo kwa ajili ya kuwasikiliza matatizo yao mbalimbali yanayowakabili sehemu zao za kazi, Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania, wakimsikiliza Waziri wa Uchukuzi, Harrison Mwakyembe, wakati alipokuwa akizungumza nao, alipofika kwenye Karakana ya shirika hilo kwa ajili ya kuwasikiliza matatizo yao mbalimbali yanayowakabili sehemu zao za kazi, Dar es Salaam leo.

Mmoja wa wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania, Ally Rashid, akimuuliza Waziri wa Uchukuzi, Harrison Mwakyembe, swali wakati alipokuwa akizungumza nao, alipofika kwenye Karakana ya shirika hilo kwa ajili ya kuwasikiliza matatizo yao mbalimbali yanayowakabili sehemu zao za kazi, Dar es Salaam leo.
Waziri wa Uchukuzi, Harrison Mwakyembe, akijibu swali la mfanyakazi huyo, wakati alipozungumza nao, alipofika kwenye Karakana ya shirika hilo kwa ajili ya kuwasikiliza matatizo yao mbalimbali yanayowakabili sehemu zao za kazi, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Shaaban Mwinjaka na kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika hilo, Severine Kaombwe.
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania, wakimsikiliza Waziri wa Uchukuzi, Harrison Mwakyembe, wakati alipokuwa akizungumza nao, alipofika kwenye Karakana ya shirika hilo kwa ajili ya kuwasikiliza matatizo yao mbalimbali yanayowakabili sehemu zao za kazi, Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment