*Akabidhi barua ya kujiuzulu na kuvua Taji lake kwa Kamati ya Miss Tanzania
Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency, waandaaji wa Shindano la Urembo la Miss Tanzania, Hashim Lundenga, akiionesha kwa waandishi wa habari, barua ya kujiuzulu (kuachia ngazi), Miss Tanzania 2014, Sitti Mtevu kutokana na kile alichodai kuandamwa na Vyombo vya Habari na watu binafsi hatua iliyomfanya kufikia uamuzi huo, kwa ajili ya kulinda heshima yake na familia yake. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati ya Miss Tanzania, Gladys Shao.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency, waandaaji wa Shindano la Urembo la Miss Tanzania, Hashim Lundenga, akiionesha kwa waandishi wa habari, barua hiyo ya kujiuzulu nafasi yake ya Miss Tanzania 2014, Sitti Mtevu kutokana na kile alichodai kuandamwa na Vyombo vya Habari na watu binafsi hatua iliyomfanya kufikia uamuzi huo, kwa ajili ya kulinda heshima yake na familia yake. Nafasi yake sasa inachukuliwa na aliyenyakuwa Ushindi wa Pili katika shindano hilo, Lilian Kamazima. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati ya Miss Tanzania, Gladys Shao.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency, waandaaji wa Shindano la Urembo la Miss Tanzania, Hashim Lundenga, akizungumza na waandishi wa habari, wakati wa mkutano huo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency, waandaaji wa Shindano la Urembo la Miss Tanzania, Hashim Lundenga, akizungumza na waandishi wa habari, wakati wa mkutano huo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency, waandaaji wa Shindano la Urembo la Miss Tanzania, Hashim Lundenga, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati wa mkutano huo. Wapili kushoto mrembo aliyeshika nafasi ya Pili, Lilian Kamazima, anayechukua nafasi hiyo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency, waandaaji wa Shindano la Urembo la Miss Tanzania, Hashim Lundenga, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati wa mkutano huo. Kushoto ni Mshindi wa Pili, anayechukua taji hilo, Lilian Kamazima.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency, waandaaji wa Shindano la Urembo la Miss Tanzania, Hashim Lundenga, akijibu maswali ya waandishi wa habari, wakati wa mkutano huo. Kushoto ni mrembo aliyeshika nafasi ya Pili, Lilian Kamazima, anayechukua nafasi hiyo ya Sitti Mtemvu baada ya kuwasilisha barua ya kujiuzulu kwa Kamati ya Miss Tanzania.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency, waandaaji wa Shindano la Urembo la Miss Tanzania, Hashim Lundenga, akijibu maswali ya waandishi wa habari, wakati wa mkutano huo. Kushoto ni mrembo aliyeshika nafasi ya Pili, Lilian Kamazima, anayechukua nafasi hiyo ya Sitti Mtemvu baada ya kuwasilisha barua ya kujiuzulu kwa Kamati ya Miss Tanzania na kulia ni mwanakamati ya Miss Tanzania, Bosco Majaliwa.

Waandishi wa habari, wakimsikiliza Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency, waandaaji wa Shindano la Urembo la Miss Tanzania, Hashim Lundenga, wakati alipokuwa akijibu maswali yao kwenye mkutano huo, leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency, waandaaji wa Shindano la Urembo la Miss Tanzania, Hashim Lundenga, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati wa mkutano huo. Kushoto ni mrembo aliyeshika nafasi ya Pili, Lilian Kamazima, anayechukua nafasi hiyo ya Sitti Mtemvu Kulia ni Mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Miss Tanzania, Bosco Majaliwa.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency, waandaaji wa Shindano la Urembo la Miss Tanzania, Hashim Lundenga, akijibu maswali ya waandishi wa habari, wakati wa mkutano huo. Kushoto ni mrembo aliyeshika nafasi ya Pili, Lilian Kamazima, anayechukua nafasi hiyo ya Sitti Mtemvu baada ya kuwasilisha barua ya kujiuzulu kwa Kamati ya Miss Tanzania na kulia ni mwanakamati ya Miss Tanzania, Bosco Majaliwa.
No comments:
Post a Comment