*Ni kutoka sh. 79,000/- mpaka 59, 000/-
*Kutoa simu ya bure aina ya S100
*Ni katika sharamshamra za kusherehekea sikukuu za Krismas na Mwaka Mpya
Mkurugenzi wa Masoko
na Mauzo wa Star Media Tanzania ambao ni wauzaji na wasambazaji wa ving’amuzi
vya StarTimes, StarTimes Tanzania, Jack Yu (kulia) akizungumza na waandishi wa
habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa promosheni ya krisimasi na mwaka
mpya ambapo wameshusha bei ya ving’amuzi vya antenna kutoka sh. 79,000/- mpaka
59,000/- na ofa ya simu ya kisasa ya bure aina ya S100 endapo mteja atalipia
kifurushi chochote kwa kiasi cha Sh. 120,000/-. Akisikiliza kwa makini uzinduzi
huo ambao pia ulienda sambamba na simu za kisasa aina ya P40, Solar 5 na Planet
5 zitakazopatikana katika maduka na ofisi za StarTimes na mawakala wao, kushoto
ni Meneja wa Mauzo wa kampuni hiyo, David Kisaka.
Waandishi wa habari
wakifuatilia kwa makini uzinduzi wa uzinduzi wa promosheni ya krisimasi na
mwaka mpya ambapo wameshusha bei ya ving’amuzi vya antenna kutoka sh. 79,000/-
mpaka 59,000/- na ofa ya simu ya kisasa ya bure aina ya S100 endapo mteja
atalipia kifurushi chochote kwa kiasi cha Sh. 120,000/-. Pia kampuni hiyo
ilitangaza kupatikana kwa simu za kisasa aina ya P40, Solar 5, na Planet 5
zitakazopatikana katika ofisi na maduka ya mawakala na washirika wa kampuni ya
StarTimes Tanzania katika kipindi hiki cha msimu wa sikukuu za Krisimasi na
Mwaka Mpya.
Mkurugenzi wa Masoko
na Mauzo wa Star Media Tanzania ambao ni wauzaji na wasambazaji wa ving’amuzi
vya StarTimes, StarTimes Tanzania, Jack Yu (kulia) akizungumza na waandishi wa
habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa promosheni ya krisimasi na mwaka
mpya ambapo wameshusha bei ya ving’amuzi vya antenna kutoka sh. 79,000/- mpaka
59,000/- na ofa ya simu ya kisasa ya bure aina ya S100 endapo mteja atalipia
kifurushi chochote kwa kiasi cha Sh. 120,000/-. Akisikiliza kwa makini uzinduzi
huo ambao pia ulienda sambamba na simu za kisasa aina ya P40, Solar 5 na Planet
5 zitakazopatikana katika maduka na ofisi za StarTimes na mawakala wao, kushoto
ni Meneja wa Mauzo wa kampuni hiyo, David Kisaka.
Meneja wa Mauzo wa kampuni ya
Star Media Tanzania ambao ni wauzaji na wasambazaji wa ving’amuzi vya StarTimes,
David Kisaka (kushoto) akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani) simu ya
kisasa aina ya S100 ambayo atazawadia mteja pindi alipiapo kifurushi chochote
iwe kwa upande wa king’amuzi cha dishi (DTH) ama antenna (DTT) kwa kiasi cha
sh. 120,000/- katika msimu huu wa sikukuu. Akisikiliza kwa makini kulia ni Mkurugenzi wa
Masoko na Mauzo wa StarTimes Tanzania, Jack Yu.
Mkurugenzi wa Masoko
na Mauzo wa Star Media Tanzania ambao ni wauzaji na wasambazaji wa ving’amuzi
vya StarTimes, StarTimes Tanzania, Jack Yu (kulia) pamoja na Meneja wa Mauzo wake,
David Kisaka (kushoto) wakiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) simu
za kisasa aina ya P40, Solar 5, na Planet 5 zitakazopatikana katika ofisi na
maduka ya mawakala na washirika wao katika kipindi hiki cha msimu wa sikukuu za
Krisimasi na Mwaka Mpya. Pia kampuni hiyo imetangaza kushusha bei ya ving’amuzi
vya antenna kutoka sh. 79,000/- mpaka 59,000/- na ofa ya simu ya kisasa ya bure
aina ya S100 endapo mteja atalipia kifurushi chochote kwa kiasi cha Sh.
120,000/-.

vya StarTimes, StarTimes Tanzania, Jack Yu (kulia) akiwaonyesha waandishi wa
habari (hawapo pichani) simu ya kisasa aina ya Planet 5 zitakazopatikana pamoja
na power bank yake katika ofisi na maduka ya mawakala na washirika wao katika
kipindi hiki cha msimu wa sikukuu za Krisimasi na Mwaka Mpya. Pia kampuni hiyo imetangaza
kushusha bei ya ving’amuzi vya antenna kutoka sh. 79,000/- mpaka 59,000/- na
ofa ya simu ya kisasa ya bure aina ya S100 endapo mteja atalipia kifurushi
chochote kwa kiasi cha Sh. 120,000/-. Akisikiliza kwa makini kushoto ni Meneja
wa Mauzo wa kampuni hiyo, David Kisaka.
Mkurugenzi wa Masoko
na Mauzo wa Star Media Tanzania ambao ni wauzaji na wasambazaji wa ving’amuzi
vya StarTimes, StarTimes Tanzania, Jack Yu (kulia) akiwaonyesha waandishi wa
habari (hawapo pichani) simu ya kisasa aina ya Planet 5 itakazopatikana pamoja
na power bank yake katika ofisi na maduka ya mawakala na washirika wao katika
kipindi hiki cha msimu wa sikukuu za Krisimasi na Mwaka Mpya. Pia kampuni hiyo imetangaza
kushusha bei ya ving’amuzi vya antenna kutoka sh. 79,000/- mpaka 59,000/- na
ofa ya simu ya kisasa ya bure aina ya S100 endapo mteja atalipia kifurushi
chochote kwa kiasi cha Sh. 120,000/-. Akisikiliza kwa makini kushoto ni Meneja
wa Mauzo wa kampuni hiyo, David Kisaka.
Meneja wa Mauzo wa kampuni ya
Star Media Tanzania ambao ni wauzaji na wasambazaji wa ving’amuzi vya StarTimes,
David Kisaka (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati
wa uzinduzi wa promosheni ya krisimasi na mwaka mpya ambapo wameshusha bei ya
ving’amuzi vya antenna kutoka sh. 79,000/- mpaka 59,000/- na ofa ya simu ya kisasa
ya bure aina ya S100 endapo mteja atalipia kifurushi chochote kwa kiasi cha Sh.
120,000/-. Akisikiliza kwa makini kulia ni Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa
StarTimes Tanzania, Jack Yu.
Baadhi ya simu za kisasa aina
ya P40, Solar 5, na Planet 5 zitakazopatikana katika ofisi na maduka ya
mawakala na washirika wa kampuni ya StarTimes Tanzania katika kipindi hiki cha
msimu wa sikukuu za Krisimasi na Mwaka Mpya. Pia kampuni hiyo imetangaza kushusha
bei ya ving’amuzi vya antenna kutoka sh. 79,000/- mpaka 59,000/- na ofa ya simu
ya kisasa ya bure aina ya S100 endapo mteja atalipia kifurushi chochote kwa
kiasi cha Sh. 120,000/-. Uzinduzi huo ulifanyika leo jijini Dar es Salaam
katika duka la kampuni hiyo lilipo makutano ya mtaa wa Samora na barabara ya
Morogoro.
Na Mwandishi wetu
Dar es Salaam, Novemba 26, 2014
KATIKA kuhakikisha kila mtanzania anapata fursa ya kufurahia huduma ya matangazo ya digitali nchini kampuni ya StarMedia Tanzania wameamua kushusha bei ya ving’amuzi vyao vya StarTimes kutoka shilingi 79,000/- mpaka 59,000/- katika kipindi hiki cha msimu wa sikukuu za Krisimasi na Mwaka Mpya.

Akizungumza na waandishi wa habari
Meneja wa Mauzo wa kampuni hiyo, David Kisaka alibainisha kuwa bei hiyo
iliyoshushwa ni kwa ving’amuzi vinavyotumia antena za nje na ndani au DTT na
hii ni katika jitihada zetu kuhakikisha kila mtanzania anafikiwa na huduma zetu
kwa gharama nafuu.
Kisaka amesema, “StarTimes
tumedhamiria kuwahakikishia watanzania kuwa huduma zetu zitaendelea kuwa nafuu
kulingana na hali halisi ya maisha tuliyonayo. Kulithibitisha hilo, ninayofuraha
kubwa leo kuwatangazia bei mpya ya ving’amuzi vya antena za nje na ndani
itakuwa ni shiling 59,000/- na sio shilingi 79,000/- kama ilivyokuwa awali. Bei
hii mpya ni dhamira yetu ya dhati kabisa ya kuwapatia wateja matangazo ya
digitali ya uhakika na kwa bei nafuu ambayo kila mtu ataimudu hata yule mwenye
kipato cha chini kabisa.”
“Punguzo hili la bei linakwenda
sambamba na ofa kabambe ambapo endapo mteja wa StarTimes atalipia kifurushi
chochote kile na kunafikia kiwango cha shilingi 120, 000/- basi atapatiwa simu
ya bure na ya kisasa kabisa aina ya S100 na hapa ninamaanisha kwa watumiaji wa
ving’amuzi vya kawaida na madishi. Kwa ving’amuzi vya kawaida inamaana akilipia
kwa kiwango hicho ni sawa na kulipia kifurushi cha Mambo kwa mwaka mzima
(10,000/-), Uhuru kwa miezi sita (20,000/-) na Kili kwa miezi minne (30,000/-).
Na kwa upande wa madishi pia ni hivyo hivyo endapo akilipia vifurushi vya smart
ambacho ni shilingi 32,000/- na special kwa shilingi 16,000/-,” aliendelea Bw.
Kisaka.
“Mbali na ofa ya punguzo la bei na
zawadi za simu pia mteja wa StarTimes akilipia kifurushi chochote kwa miezi
mitatu atapatiwa ofa ya mwezi mmoja wa bure na atakayelipia mwezi mmoja na nusu
au siku 45 atapatiwa nusu mwezi au siku 15 bure,” alisema na kuongezea Bw.
Kisaka, “Lengo la kufanya hivi ni kuwafanya wateja wetu waendelee kufurahia zaidi
chaneli na vipindi vyetu na pia kuwashawishi waendelee kulipia zaidi na chaneli
zingine ili kupata uhondo zaidi kwani haitoshi tu kutazama chaneli na vipindi
vya nyumbani.”
“Hivyo basi ningependa kuwasihi
wateja wetu na watanzania kwa ujumla ambao mpaka sasa bado hawajaunganishwa na
huduma za StarTimes basi wakati ndio huu kwani tumewashushia gharama za chini
kabisa kwa lengo la kumfikia kila mtu. Ili kuweza kupatiwa huduma zetu basi
ningewaomba mtembelee ofisi na maduka yetu, kwa sasa tunayo maduka sita jijini
Dar es Salaam likiwemo hili la hapa mtaa wa Samora, Tegeta, Buguruni, Bamaga,
Msimbazi-Kariakoo na Ukonga huku mengine kumi yakiwa mikoani zilizo huduma
zetu.” Alimalizia Bw. Kisaka.
Naye kwa upande wake Mkurugenzi wa
Masoko na Mauzo wa StarTimes Tanzania, Jack Yu alitumia fursa hiyo pia
kuwapatia watanzania habari njema kuhusu simu mpya na za kisasa
zitakazopatikana katika msimu huu.
“Kwa mara nyingine tena StarTimes
tunawaletea simu za kisasa ambazo zitapatikana kwa bei nafuu kabisa katika
maduka yetu ya Bamaga, Msimbazi na hili la Samora. Mbali na maduka hayo pia
simu hizi zitapatikana kwenye maduka ya mawakala na washirika wetu kama vile
Vodacom na Airtel.” Alisema Bw. Yu
“Simu hizi ambazo zitapatikana kwa
bei nafuu ni zawadi yetu kwa wateja wetu na watanzania kwa ujumla
watakaotembelea ofisi na maduka yetu. Aina ya simu ambazo zitakazopatikana ni
P40 yenye garantii ya miezi 13, Planet 5 na Solar 5 ambayo mteja atapatiwa na
power bank ya bure, zote hizi zitapatikana kwa bei ya shilingi 129,000/-,
225,000/- na 270,000/-”
“Simu hizi zina uwezo mkubwa wa
kupata huduma zote ikiwemo kutumia laini mbili za simu, uwezo mkubwa wa
kuhifadhi vitu (memory card ya GB 8 ya bure) kwa ajili ya kuweka kumbukumbu ya
matukio mbalimbali, kamera ya mebele na nyuma kwa kupiga picha nzuri na za
kuvutia, uwezo wa kupata intaneti yenye kasi (3G) itakayokuwezesha kuperuzi
mitandao ya kijamii kama vile Facebook, Twitter, Whatsap, Viber, Wechat na
kadhalika. Ningependa kuchukua fursa hii kuwataka watu wajitokeze na
kujinunulia simu hizi kwani ni chache.” Alihitimisha bosi huyo wa StarTimes.

No comments:
Post a Comment