Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Basil Kaunga (katikati), akizungumza wakati akiufungua mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Posta (TPC), Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya shirika hilo, Dk. Yamungu Kayandabila na kulia ni Mwenyekiti wa baraza hilo, Postamasta Mkuu, Deos Mndeme.
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Basil Kaunga (katikati), akizungumza wakati akiufungua mkutano wa Baraza hilo, la Wafanyakazi wa Shirika la Posta (TPC), Dar es Salaam leo. Kulia ni Mwenyekiti wa baraza hilo, Postamasta Mkuu, Deos Mndeme.
Mwenyekiti wa Bodi ya shirika hilo, Dk. Yamungu Kayandabila (kushoto), akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Posta (TPC), Dar es Salaam leo. Katikati ni Mgeni rasmi katika ufunguzi huo, Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Basil Kaunga na kulia ni Mwenyekiti wa baraza hilo, Postamasta Mkuu, Deos Mndeme.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakisikiliza hotuba mbalimbali zilizokuwa zikitolewa wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa baraza hilo jijini Dar es Salaam leo.
Juu na Chini: Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakisikiliza hotuba mbalimbali zilizokuwa zikitolewa wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa baraza hilo jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakisikiliza hotuba zilizokuwa zikitolewa wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa baraza hilo jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakisikiliza hotuba mbalimbali zilizokuwa zikitolewa wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa baraza hilo jijini Dar es Salaam leo.
Mgeni rasmi katika ufunguzi wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Basil Kaunga (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa baraza hilo, mara baada ya kuufungua mkutano wao mkuu jijini leo.
Mgeni rasmi katika ufunguzi wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Basil Kaunga (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa baraza hilo.
Mgeni rasmi katika ufunguzi wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Basil Kaunga (katikati), akiagana na wajumbe wa baraza hilo.
Mgeni rasmi katika ufunguzi wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Basil Kaunga (katikati), akiagana na wajumbe wa baraza hilo.
Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Postamasta Mkuu, Deos Mndeme, akizungumza wakati wa uchaguzi wa viongozi wa kujaza nafasi mbalimbali, mara baada ya kufunuliwa mkutano mkuu wa baraza hilo.
Mmoja wa wagombea akijieleza wakati wa uchaguzi wa kujaza nafasi mbalimbali za uongozi.
Wajumbe wakijaza majina ya wagombea waliowachagua wakati wa mkutano huo.
Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Postamasta Mkuu, Deos Mndeme, akizungumza wakati wa uchaguzi wa viongozi wa kujaza nafasi mbalimbali, mara baada ya kufunuliwa mkutano mkuu wa baraza hilo.
Kura zikihesabiwa kwa wajumbe mbalimbali walioomba uongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Mawasiliano (Tewuta), wakati wa mkutano huo.
Na Mwandishi wetu
SERIKALI kwa kusrikiana na Shirika la Posta Tanzania (TPC), imesema kuwa mpango wa kuandaa anuani za makazi unatarajiwa kukamilika mwezi Desemba mwakani.
Mpango ambao utarahisisha huduma za posta kuifikia jamii katika ufikishwaji wa tarifa kwenye makazi ya watu.
Akizungumza jijini Dar s Salaam leo, Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Technologia, Bazil Kaunga wakati akifungua Mkutano Mkuu wa 23 wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Posta (TPC) wa kufanya tathimini ya utendaji kazi kwa mwaka wa fedha 2013|2014.
"Utekelazwaji rasmi wa mpango huu umeshaanza katika mkoa wa Dar es Salaam kwa mwaka wa fedha 2014\2015 na mpango huo utarajiwa kukamilika desemba mwakani ambapo ofisi zote za shirika la posta zitakuwa zimeunganishwa na huduma hii,"alisema.
Kaunga alisema utekelezwajiji wa majaribio katika kutekeleza mpango huo ulifanywa awali katika kata za mikoa ya Arusha na Dododma mwaka 2013.
''Katika kukamishwa huduma za posta zinaboreshwa na zinakuwa za kisasa zaidi pamoja na kuongeza kazi zaidi ya kuwakia watamzania katika kutoa huduma bora.
''Kata za mikoa miwili hii ulifanyiwa utekelezaji wa majaribio lakini utekelezwaji wa mpango huu ulianza rasimi katika mkoa wa Dar es Salaam,''alisema.
Kaunga aliongeza ni vyema uongozi wa posta kizindisha ushirikiano mzuri na uongozi wa Serikali kupitia wizara ya mawasiliamo sayansi na Teknologia ili kukanilisha mpango huo kwa uharaka na pia utekelazwaji wa mipango mingine.
Akizungumzia suala la mkongo wa taifa Kaungo alisema serikali inajitahidi kuujenga na kuimarisha mkongo huo ili kutoa uhakika wa mawasiliano ya tecnohama kwa watanzania.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Bodi ya shirika la Posta, Dk. Yamungu Kayandabila alisema shirika linajitahidi kuboresha huduma zake na kuvumbua zaidi mambo mbalimbali pamoja na changamoto nyingi wanazokabiliana nazo.

No comments:
Post a Comment