Wahitimu wa Kidato cha Nnne wa Shule ya Skondari ya Agape ya Mbagala, Dar es Salaam, wakiimba kwaya wakati walipokuwa wakitumbuiza katika mahafali ya Nane ya shule hiyo, mwishoni mwa wiki shuleni hapo.
Wahitimu wa Kidato cha Nnne wa Shule ya Skondari ya Agape ya Mbagala, Dar es Salaam, wakitumbuiza mbele ya Meza Kuu kwa kwaya wakati wa mahafali ya Nane ya shule hiyo, mwishoni mwa wiki shuleni hapo.
Wahitimu wa Kidato cha Nnne wa Shule ya Skondari ya Agape ya Mbagala, Dar es Salaam, wakitumbuiza mbele ya Meza Kuu kwa kwaya wakati wa mahafali ya Nane ya shule hiyo, mwishoni mwa wiki shuleni hapo.
Mgeni rasmi katika mahafali ya Nane ya Shule ya Sekondari Agape ya Mbagala, Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo bank, Ibrahim Mwangalaba (katikati), akiwa pamoja na Wajumbe wa bodi ya shule, Titus Kaguo (kushoto) na Dk. Fred Msemwa (wapili), Mkuu wa shule hiyo, Rabson Fungo (wapili kulia) na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Shule, Jackob Nduye, wakati wa mahafali hayo mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa shule hiyo, Rabson Fungo, akizungumza kabla ya kumkaribisha mjumbe wa bodi ya shule, Dk. Fred Msemwa (wapili kushoto), kuzungumza katika mahafali ya nane ya Shule hiyo ya Sekondari Agape ya Mbagala, Dar es Salaam.

Mjumbe wa bodi ya Shule ya Agape, Dk. Fred Msemwa, akizungumza wakati wa mahafali hayo, kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi katika mahafali hayo ya nane ya Shule ya Sekondari Agape ya Mbagala, Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo bank, Ibrahim Mwangalaba (watatu kutoka kushoto), katika mahafali hayo mwishoni mwa wiki.
Mjumbe wa bodi ya Shule ya Agape, Dk. Fred Msemwa, akizungumza wakati wa mahafali hayo, kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi katika mahafali hayo ya nane ya Shule ya Sekondari Agape ya Mbagala, Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo bank, Ibrahim Mwangalaba.
Mgeni rasmi katika mahafali ya Nane ya Shule ya Sekondari Agape ya Mbagala, Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo bank, Ibrahim Mwangalaba, akizungumza wakati wa mahafali hayo mwishoni mwa wiki.

Mgeni rasmi katika mahafali ya Nane ya Shule ya Sekondari Agape ya Mbagala, Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo bank, Ibrahim Mwangalaba, akizungumza wakati wa mahafali hayo mwishoni mwa wiki. Wengine kutoka kushoto ni Wajumbe wa bodi ya shule, Titus Kaguo na Dk. Fred Msemwa na kulia ni Mkuu wa shule hiyo, Rabson Fungo.
Baadhi ya wahitimu wa kike wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Agape, wakiwa katika mahafali yao ya nane, shuleni hapo mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wahitimu wa kike wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Agape, wakiwa katika mahafali yao ya nane, shuleni hapo mwishoni mwa wiki.Baadhi ya walimu wa shule hiyo, wakiwa pamoja na wazazi, walezi, jamaa wa wahitimu hao, pamoja na wageni mbalimbali, wakiwa katika mahafali hayo.
Wahitimu wa kiume wa kidato cha nne, Shule ya Sekondari Agape, wakitumbuiza wakati wa mahafali yao ya nane, Mbagala Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wahitimu wa kike wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Agape, wakifurahia jambo wakati wa mahafali yao hayo.
Wahitimu wa kiume wa kidato cha nne, Shule ya Sekondari Agape, wakitumbuiza wakati wa mahafali yao ya nane, Mbagala Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Wahitimu wa kiume wa kidato cha nne, Shule ya Sekondari Agape, wakitumbuiza katika mitindo mbalimbali wakati wa mahafali yao hayo, mwishoni mwa wiki.
Wahitimu wa kiume wa kidato cha nne, Shule ya Sekondari Agape, wakitumbuiza katika mitindo mbalimbali wakati wa mahafali yao hayo, mwishoni mwa wiki.
Mhitimu Joan Japhet (kulia), akisoma risala ya shule huku akisaidiwa na Johan Joseph (kushoto), wakati wa mahafali hayo.
Mkuu wa shule hiyo, Rabson Fungo, akielezea jambo kabla ya wahitimu kusoma risala yao.
Mhitimu Salwin Wamu, akisoma risala ya wahitimu wakati wa mahafali hayo, huku akisaidiwa na mhitimu mwenzake, Tuliza Mkagama.
Mgeni rasmi katika mahafali ya Nane ya Shule ya Sekondari Agape ya Mbagala, Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo bank, Ibrahim Mwangalaba, akitunuku cheti kwa mmoja wa wanafunzi bora, Janeth Joachim.
Mgeni rasmi katika mahafali ya Nane ya Shule ya Sekondari Agape ya Mbagala, Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo bank, Ibrahim Mwangalaba, akimtunuku cheti mwanafunzi bora wa jumla, Salwin Wamu.
Mgeni rasmi katika mahafali ya Nane ya Shule ya Sekondari Agape ya Mbagala, Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo bank, Ibrahim Mwangalaba, akitunuku cheti kwa mmoja wa wanafunzi bora, Samira Wilson.
Mgeni rasmi katika mahafali ya Nane ya Shule ya Sekondari Agape ya Mbagala, Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo bank, Ibrahim Mwangalaba, akitunuku cheti kwa mmoja wa wanafunzi bora, Simon Peter.

No comments:
Post a Comment