Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula
akiwasilisha kwa Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, salamu za kumtakia kheri na
afya njema kutoka kwa Rais wa Marekani Barrack Obama leo, mjini Baltimore
Maryland.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akimshukuru Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula
baada ya kumkabidhi salamu za kumtakia kheri na

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na baadhi ya wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania
nchini Marekani uliopo Washington D.C. wakati walipomtembelea mjini Baltimore,
Maryland, ambapo balozi Liberata Mulamula aliwasilisha kwa Rais Kikwete Salamu
maalum za kumtakia kheri na afya njema kutoka kwa Rais Barrack Obama leo. (Picha
zote na Freddy Maro)

No comments:
Post a Comment