TANGAZO

Friday, October 10, 2014

Wadau wa vijana washiriki mdahalo katika Wiki ya Vijana mkoni Tabora

Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Steven Kissui akizungumza katika mdahalo wa vijana leo, mkoani Tabora ambapo mdahalo huo umefanyika ikiwa ni kuadhimisha Wiki ya Vijana ambayo kitaifa inafanyika mkoani hapa.
Mchumi Mkuu Sekretariat ya Mkoa wa Tabora Bw.Nicholas Kileka akitoa mada kuhusu ijue Tabora leo mkoani humo wakati wa mdahalo uliohusisha vijana mbalimbali wanaoshiriki maadhimisho ya Wiki ya Vijana ambayo kitaifa yanafanyika mkoani humo.
Ofisa Vijana Mwandamizi kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Florent Karist akitoa mada kuhusu maudhui ya Wiki ya Vijana leo mkoani humo wakati wa mdahalo uliohusisha vijana mbalimbali wanaoshiriki maadhimisho ya Wiki ya Vijana ambayo kitaifa yanafanyika mkoani humo.
Baadhi ya Washiriki wa mdahalo wa Vijana katika kuadhimisha Wiki ya Vijana wakichangia mada katika mdahalo huo leo mkoani Tabora

Baadhi ya Washiriki wa mdahalo wa Vijana katika kuadhimisha Wiki ya Vijana wakifuatilia mada katika mdahalo huo leo mkoani Tabora. 
Baadhi ya Washiriki wa mdahalo wa Vijana katika kuadhimisha Wiki ya Vijana wakifuatilia mada katika mdahalo huo leo mkoani Tabora. (Picha zote na Frank Shija, WHVUM)

No comments:

Post a Comment