TANGAZO

Tuesday, October 14, 2014

Rais Kikwete aongoza maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge mjini Tabora

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mwenge wa Uhuru wakati wa maadhimisho ya kilele cha mbio za mwenge ziizofanyika mkoani Tabora leo. Kulia ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na michezo, Dkt. Fenela Mkangara.

Kiongozi wa mbio za mwenge 2014 Rachel Kassandra akikabidhi mwenge wa Uhuru kwa Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa maadhimisho ya kilele cha mbio za mwenge na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, zilizofanyika kwenye Uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi, mkoani Tabora leo. Kulia ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na michezo, Dkt. Fenela Mkangara.

Kiongozi wa mbio za mwenge 2014 Rachel Kassandra akitoa heshima kwa Rais Dkt. Jakaya Kikwete, mara baada ya kumkabidhi Mwenge wa Uhuru wakati wa maadhimisho ya kilele cha mbio za mwenge na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, zilizofanyika kwenye Uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi, mkoani Tabora leo. Kulia ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na michezo, Dkt. Fenela Mkangara.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa mbio za mwenge mwaka huu wakati wa maadhimisho ya kilele cha mbio hizo zilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora leo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake, wakati wa kilele cha mbio za Mwenge 2014 zilizofanyika katika Uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi, mjini Tabora leo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake, wakati wa kilele cha mbio za Mwenge 2014 zilizofanyika katika Uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi, mjini Tabora leo. (Picha zote na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment