TANGAZO

Monday, October 6, 2014

Maafali ya 36 ya NBAA yafana

Baadhi ya wahitimu wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA) wakiwa katika maandamano ya kitaaluma wakati wa maafali ya 36 yaliyofanyika katika kituo cha NBAA Mbweni jijini Dar es Salaam juzi, ambapo jumla ya wahitimu 855 walipata Shahada ya juu ya Uhasibu (CPA) na wahitimu 82 walitunukiwa cheti cha utunzaji wa hesabu (ATEC.)

Mkurugenzi wa Bodi ya NBAA Bw. Pius Maneno akitoa hotuba fupi kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi wakati wa mahafali ya 36 yaliyofanyika katika kituo cha NBAA Mbweni jijini, Dar es Salaam juzi.

Mgeni rasmi ambaye pia ni Naibu Waziri wa Viwanda Mhe. Janeth Mbene, akiongea na wahitimu (hawapo pichani), wakati wa mahafali ya 36 yaliyofanyika katika kituo cha NBAA Mbweni jijini Dar es Salaam juzi.

Baadhi ya wahitimu wa NBAA wakifuatilia kwa makini matukio yaliyokuwa yakiendelea wakati wa mahafali ya 36 yaliyofanyika katika kituo cha NBAA Mbweni jijini Dar es Salaam juzi ambapo jumla ya wahitimu 855 walipata CPA na wahitimu 82 walipata cheti cha utunzaji wa hesabu.

Kikundi cha ngoma kutoka JKT Mbweni kikitumbuiza wakati wa maafali ya 36 yaliyofanyika katika kituo cha NBAA Mbweni jijini Dar es Salaam juzi. (Picha zote na Genofeva Matemu – Maelezo)

No comments:

Post a Comment