TANGAZO


Friday, October 10, 2014

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) chaendelea kupinga adhabu ya Kifo


Mkurugenzi Mtendaji  wa Kituo cha Sheria na Haki za 
Binadamu (LHRC), Dk.Helen Kijo-Bisimba.
Mkurugenzi wa Uwezeshaji na Uwajibikaji wa LHRC, 
Imelda Urrio.
  Mkuu wa Idara ya Dawati la Katiba, Anna Henga. 
Mkurugenzi wa Uwezeshaji na Uwajibikaji wa LHRC, Imelda Urrio (kulia) akizungumza katika mkutano huo. Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Dawati la Katiba, Anna Henga. 
Mkurugenzi Mtendaji  wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Helen Kijo-Bisimba (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati akitoa tamko la maadhimisho ya siku ya kupinga adhabu ya kifo Duniani. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Idara ya Dawati la Katiba wa LHRC, Anna Henga na Mkurugenzi wa Uwezeshaji na Uwajibikaji, Imelda Urrio.
Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa hiyo.(Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com-simu namba 0712-727062) 

No comments:

Post a Comment