TANGAZO


Sunday, September 14, 2014

Yanga yaifunga Azam FC mchezo wa Ngao ya Jamii Uwanja wa Taifa Dar es Salaam


Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo kati ya timu hiyo na Azam FC katika kuwania Ngao ya Jamii, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga imeshinda mabao 3-0. (Pichz zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mashabiki wa Azam FC wakifuatilia mchezo huo.


Mchezaji Kelvin Yondani wa Yanga, akijaribu kumzuia Leonel Saint wa Azam, wakati wa mchezo wa kuwania Ngao ya Jamii, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo






Wachezaji wa Yanga wakimpongeza Genilson Jaja, baada ya kuifungia timu hiyo bao la pili, wakati wa mchezo wa Ngao ya Jamii, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
 Mchezaji Genilson Jaja wa Yanga akishangilia bao  lake la pili aliloifungia timu yake hiyo katika mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga ilishinda mabao 3-0.
Seif Ahmed 'Magari', akimpongeza mmoja wa wachezaji wa timu hiyo.
 









Wachezaji wa Yanga, wakionesha medali zao, wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa Ngao ya Jamii na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki (haonekani pichani), baada ya kuifunga Azam FC mabao 3-0, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo katika mchezo wa kuwania ngao hiyo.

No comments:

Post a Comment