TANGAZO

Saturday, September 20, 2014

Warembo Miss Tanzania watoa misaada Hospitali ya Kilema

Mwakilishi wa Kanda ya Ziwa katika Shindano la Redds Miss Tanzania 2014 Dorine Robert akimpa zawadi ya chandarua mgonjwa Jamila Msafiri aliyelazwa katika Hospitali ya Kilema Wilaya ya Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro jana ambapo warembo 30 wa Miss Tanzania walitoa misaada mbalimbali ya kijamii hospitalini hapo.
Mwakilishi wa Kanda ya Temeke katika Shindano la Redds Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu akimpa zawadi Debora Doglas aliyelazwa katika Hospitali ya Kilema Wilaya ya Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro jana ambapo warembo 30 wa Miss Tanzania walitoa misaada mbalimbali ya kijamii hospitalini hapo.
Warembo wanaoshiriki Redds Miss Tanzania 2014 wakiwa wamembeba mtoto mchanga aliyezaliwa katika Hospitali ya Kilema Wilaya ya Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro jana ambapo warembo 30 wa Miss Tanzania walitoa misaada mbalimbali ya kijamii hospitalini hapo.

Warembo wanaoshiriki Redds Miss Tanzania 2014 wakiwa na baadhi ya vitu mbalimbali ambavyo walivitoa msaada kwa wagonjwa katika Hospitali ya Kilema Wilaya ya Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro jana, ambapo warembo 30 wa Miss Tanzania walifika na kutoa misaada mbalimbali ya kijamii hospitalini hapo. (Picha zote na Mroki Mroki)

No comments:

Post a Comment