TANGAZO


Wednesday, September 3, 2014

Rais Dk. Ali Mohamed Shein akutana na Mkurugenzi Mtndaji wa ICT

IMG_2933

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Kibiashara cha Kimataifa Internationali Trade Center ICT Bibi Arancha Gonzalez walipokutana kwa mazungumzo jana wakati vikao mbali mbali vya Mkutano wa Nchi za Visiwa ukiendelea katika Mji wa Samoa katika ukumbi wa Mikutano wa Apia.
IMG_2952
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika mazungumzo na  Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Kibiashara cha Kimataifa International Trade Center,ICT Bibi Arancha Gonzalez akiwa na ujumbe wake jana katika jingo la mkutano wa Tatu wa kimataifa wa nchi za Visiwa.
IMG_2982
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa msimamizi wa makumbusho ya Taifa nchini Samoa Mainifo  Viliamu,alipotembelea jana akiwa na ujumbe aliofuatana nao akiwa ziarani huko katika mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa.IMG_2996
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na ujumbe wake wakipewa maelezo jana wakati walipotembelea Makumusho ya Taifa la nchi ya Samoa na msimamizi wa makumbusho hiyo Mainifo Viliamu. (Picha zote na Ramadhan Othman, Samoa)

No comments:

Post a Comment