Naibu
Inspekta Jenerali wa Polisi, Abdulrahman Kaniki akimfafanulia namna
maboresho ya Polisi yalivyoanza Kamishna wa Polisi wa Namibia Bw. Schalk
Meuwesen ofisini kwake jana. Kamishna huyo yupo nchini kwa ziara ya siku
tatu akiwa na maafisa wengine kutoka Namibia kujifunza jinsi Jeshi la
Polisi Tanzania lilivyofanikiwa katika kutekeleza Maboresho yake.
Naibu
Inspekta Jenerali wa Polisi, Abdulrahman Kaniki akiwafafanulia namna
maboresho ya Polisi yalivyoanza Makamishna wa Polisi kutoka Jeshi la
Polisi la nchini Namibia Bw.Schalk Meuwesen na Bw. Abed Kashihakumwa
ofisini kwake jana.makamishna hao pamoja maafisa wengine wapo nchini kwa
ziara ya siku tatu kujifunza jinsi Jeshi la Polisi Tanzania
lilivyofanikiwa katika kutekeleza Maboresho yake. (Picha zote na Frank Geofray
wa Jeshi la Polisi)


No comments:
Post a Comment