Mmoja wa wajumbe kivuli wa Bunge la Katiba lililoundwa na wanawake, katika kujadili na kusukuma haki za mama na mtoto kuwekwa kwenye Rasimu ya Katiba, akifafanua jambo alipokua akichangia moja ya hoja zilizokuwa zikijadiliwa. Zaidi ya wanawake 300, wamekutana na kutoa maoni mbalimbali kuhusu haki za wanawake na watoto kwa ajili ya kutaka yaingizwe kwenye rasimu hiyo, kabla ya kurudishwa kwa wananchi mjini Dodoma jana.
Mjumbe wa wajumbe hao, mwenye ulemavu wa ngozi, akichangia moja ya mada hizo, kuhusu mama na mtoto kwa ajili ya
kusukuma haki za mama na mtoto kuwekwa kwenye Rasimu ya Katiba mpya
mjini Dodoma jana.
Baadhi ya wanawake toka makundi mbalimbali ya kijamii, yakiwemo ya
walemavu, wakiwa katika ukumbi wa mikutano katika Hotel ya Royal, mjini
Dodoma walipokua kwenye Bunge Kivuli la katiba.
Mjumbe akichangia moja ya mada hizo, kuhusu mama na mtoto kwa ajili ya kusukuma haki za mama na mtoto kuwekwa kwenye Rasimu ya Katiba mpya mjini Dodoma jana.
Mmoja wa wajumbe hao, akichangia mada kuhusu mama na mtoto kwa ajili ya kusukuma haki za mama na mtoto kuwekwa kwenye Rasimu ya Katiba mpya mjini Dodoma.
Baadhi ya wanawake toka makundi mbalimbali ya kijamii, yakiwemo ya walemavu, wakiwa katika ukumbi wa mikutano katika Hotel ya Royal, mjini Dodoma walipokua kwenye Bunge Kivuli la katiba. (Picha zote na John Banda, Dodoma)

No comments:
Post a Comment