TANGAZO


Sunday, July 6, 2014

Ziara ya Pili ya Rais Jakaya Kikwete kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na viongozi na wafanyakazi katika banda la Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), alipofanya ziara ingine tena leo Julai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na vijana wa Skauti wanaofanya kazi ya  ulinzi wa viongozi alipofanya ziara ingine tena leo Julai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na viongozi na wafanyakazi katika banda laPPF alipofanya ziara ingine tena leo Julai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na viongozi na wafanyakazi katika banda la TTCL alipofanya ziara ingine tena leo Julai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na viongozi na wafanyakazi katika banda la TRA alipofanya ziara ingine tena leo Julai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na viongozi na wafanyakazi katika banda Ardhi University alipofanya ziara ingine tena leo Julai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda.

No comments:

Post a Comment