TANGAZO


Sunday, July 6, 2014

Wananchi wamiminika Banda la Wizara ya Fedha kujionea huduma mbalimbali kwenye Maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara, Viwanja vya Mwalimu Nyerere Dar es Salaam

Mhasibu kutoka Ofisi ya Mhasibu Mkuu wa Serikali Martha Mgella (kulia) akitoa ufafanuzi kwa wateja waliotembelea Banda la Wizara ya Fedha  leo jijini Dar es Salaam kwenye maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara.
Mhasibu kutoka Ofisi ya Mhasibu Mkuu wa Serikali Abbas Mnyetto (wa pili kulia) akitoa ufafanuzi kwa wateja waliotembelea Banda la Wizara ya Fedha  leo jijini Dar es Salaam kwenye maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara.
Ofisa Masoko wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu (GEPF) Elivine Assey (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa mtejajuu ya utaratibu wa kujiunga na Mfuko huo leo jijini Dar es Salaam kwenye maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara.
Ofisa Masoko wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu (GEPF) Elivine Assey (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa mtejajuu ya utaratibu wa kujiunga na Mfuko huo leo jijini Dar es Salaam kwenye maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara.
Ofisa Ugavi Mkuu kutoka Wakala wa Ununuzi Serikalini (GPSA), Moses Kitangala akiwaelimisha wateja jijini Dar es Salaam kwenye maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara.
Ofisa Mauzo wa Benki ya Posta Godbright Mlay akiwaelimisha  wateja jijini Dar es Salaam kwenye maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara.
Ofisa kutoka Taasisi ya Uhasibu Tanzania George Kadutu akiwaelimisha  wateja jijini Dar es Salaam kwenye maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) Rished Bade(kulia) akibadlishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezoya Kubahatisha Abbas Tarimba (kushoto), leo jijini Dar es Salaam kwenye maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara. (Picha zote na Hazina)

No comments:

Post a Comment