TANGAZO


Thursday, July 3, 2014

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Uchumi , Viwanda na Biashara watembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara

Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, Abbas Tarimba, akitoa maelezo ya uendeshaji wa michezo ya kubahatisha kwa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara leo, ilipotembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye maonesho ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea jijini Dar es salaam. (Picha zote na HAZINA)
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, Abbas Tarimba, akitoa maelezo ya uendeshaji wa michezo ya kubahatisha kwa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara leo, ilipotembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye maonesho ya Kimataifa ya Biashara 
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, Abbas Tarimba, akitoa maelezo ya uendeshaji wa michezo ya kubahatisha kwa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara leo, walipotembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye maonesho ya Kimataifa ya Biashara, Viwanja vya Mwalimu Nyerere, Kilwa Road. 
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, Abbas Tarimba, akitoa maelezo ya uendeshaji wa michezo ya kubahatisha kwa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara leo, ilipotembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye maonesho ya Kimataifa ya Biashara, Kilwa Road jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment