TANGAZO


Thursday, July 3, 2014

Dk. Rehema Nchimbi afungua mkutano wa Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa Dodoma

Sehemu ya washiriki wa mkutano wa Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa wakimsikiliza mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi (hayupo pichani), wakati alipokuwa akiufungua mkutano huo. (Picha zote na Happy Shayo, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma)
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi, akizungumza wakati akifungua mkutano wa mwaka uliowakutanisha  Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa mjini Dodoma leo.
Sehemu ya Washiriki wa mkutano wa Wakuuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa hapa nchini wakipewa utaratibu wa siku ya kwanza.  
Picha ya pamoja na Waratibu wa mkutano wa Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa wakiwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Utumishi wa Umma, Bw. George D. Yambesi (watatu kutoka kushoto) na mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Rehema Nchini (wanne kutoka kushoto). Watano kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi wa Umma, Bw. HAB Mkwizu.

No comments:

Post a Comment