TANGAZO

Tuesday, July 1, 2014

Tume ya uchaguzi ya Taifa katika maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapigakura kwa kutumia mfumo wa 'Biometric Voter Registrartion

Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Tume ya uchaguzi ya Taifa Oigenia Mpanduji akitoa ufafanuzi wa jambo alipokuwa akitoa mada kwa waandishi wa habari wa Mkoa wa Dodoma kuhusu, Maandalizi ya Maboresho ya Daftari la kudumu wapiga kura kwa kutumia Teknolojia ya Biometric Voter Registration (BVR) hapo jana.

Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali waliopo mkoa wa Dodoma wakiwa katika ukumbi wa manispaa kufuatili semina iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusu Maboresho ya kudumu ya Daftari la wapiga kura.

Jaji Mkuu Mstaafu wa Nzanzibar ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa Uchaguzi  Mhe. Hamid Mohamoud Hamid akifungua Mafunzo kwa waandishi wa Habari wa mkoa wa Dodoma kuhusu Maboresho ya kudumu ya Daftari la wapiga kura iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Kushoto Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Tume hiyo Oigenia Mpanduji. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma Mhandisi Lusako Kilembe.
Maofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakizungumza na waandishi wa habari mkoani Dodoma kuhusu Maboresho ya Daftri la Kudumu la wapiga kura. (Picha zote na John Banda)

No comments:

Post a Comment