Rais Jakaya Kikwete akiangalia (katikati), sahani ambazo si rahisi kuvunjika(kushoto) ni Sohaic Ahamed kutoka Pakstan, kwenye banda la Karume wakati akitembelea leo maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere jijini Dares Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akiangalia shamba la mahindi katika banda la Jeshi la Magereza (kushoto) na kulia ni Kamishna Gaston Sanga wa jeshi hilo, wakati akitembelea leo maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere jijini Dares Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akisisitiza juu ya utoaji wa elimi wa kilimo cha kisasa kwa wananchi baada ya kuona bustani bora ya kilimo cha nyanya katika banda la Jeshi la Magereza (kulia) kwa Sajenti Nicolas Sikazwe wa jeshi hilo kushoto wa jeshi hilo, wakati akitembelea leo maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere jijini Dares Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akisisitiza juu ya utoaji wa elimu wa kilimo cha kisasa kwa wananchi baada ya kuona bustani bora ya kilimo cha nyanya katika banda la Jeshi la Magereza (kushoto) na kulia ni Kamishna Gaston Sanga wa jeshi hilo, wakati akitembelea leo, maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere jijini Dares Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akitia saini katika kitabu cha wageni kwenye banda la Shirika la Nyumba Tanzania(NHC), wakati akitembelea leo maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere jijini Dares Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo juu ya shughuli za Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC )kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji, Yona Killagane, wakati akitembelea leo, maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere jijini Dares Salaam.
Baadhi ya wananchi wakitembelea leo maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere jijini Dares Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akitoka katika Banda la Tanzania na kuingia banda la Benki Kuu ya Tanzania (BOT) huku akisaliana na baadhi ya viongozi wa BOT, wakati akitembelea leo maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere jijini Dares Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akisikiliza jambo kutoka kwa Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki na Sarafu, Emmanuel Boas (aliye nyoosha mkono)katika banda la Benki Kuu ya Tanzania(BOT), wakati akitembelea leo, maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere jijini Dares Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akiangalia aina za mafuta katika banda la Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC)(kulia ) na kushoto anayeeleza ni Mgeolojia Ibrahim Rutta, wakati akitembelea leo, maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere jijini Dares Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akiangalia darubuni ya kupima visukuku wa wanyama na mimea kwa ajili ya kubaini mafuta katika banda la Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), anayetabasamu ni mtaalamu wa Visukuku wa wanyama, Adam Sajilo wakati akitembelea leo, maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Magreth Kinabo- Maelezo)
No comments:
Post a Comment