TANGAZO


Saturday, July 5, 2014

Wananchi wamiminika kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa, Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam

Mchumi Mwandamizi wa Wizara ya Fedha, Idara ya Bajeti, Adam Msumule (kulia) akimwelimisha mwananchi aliyetembelea banda la Wizara hiyo leo jijini Dar es salaam kwenye  maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara kuhusu utaratibu wa utekelezaji wa bajeti ya Serikali kwa sekta mbalimbali.
Mchumi Mwandamizi wa Wizara ya Fedha, Idara ya Bajeti, Adam Msumule (kulia) akimwelimisha mwananchi aliyetembelea banda la Wizara hiyo leo, jijini Dar es Salaam kwenye  maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara kuhusu utaratibu wa utekelezaji wa bajeti ya Serikali kwa sekta mbalimbali.
Ofisa Uendeshaji wa Mfuko wa Pesheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF)  Zuhura Salehe (kushoto) akimwelimisha mwananchi aliyetembelea banda la Wizara ya Fedha leo jijini Dar es salaam kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na mfuko huo.
Ofisa Mawasiliano wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Noves Moses (kulia) akijibu maswali ya waandishi wa habari leo jijini Dar es salam wakati walipotembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara .
Ofisa Mawasiliano wa Benki ya Posta Tanzania Noves Moses (kulia) akijibu maswali ya waandishi wa habari leo jijini Dar es salam wakati walipotembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara .
Ofisa Uwekezaji wa  Mfuko wa Pesheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF)  Hamid Ngororo (kulia) akimwelimisha wananchi waliotembelea banda la Wizara ya Fedha leo jijini Dar es Salaam kwenye maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara kuhusu utaratibu wa ukopeshaji wa nyumba kwa wananchi.
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania(TIA) Lillian Mpanju(kulia) akijibu maswali na kutoa ufafanuzi kwa wananchi mbalimbali walipotembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara  leo jijini Dar es salaam kujionea shughuli mbalimbali zinazoendeshwa na Taasisi hiyo.
 Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania(TIA) Lillian Mpanju(kulia) akijibu maswali na kutoa ufafanuzi kwa wananchi mbalimbali walipotembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara  leo jijini Dar es salaam kujionea shughuli mbalimbali zinazoendeshwa na Taasisi hiyo.
Mtaalam wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kutoka Chuo cha Mipango cha Dodoma Njamasi Chiwanga (kushoto) akijibu maswali na kutoa ufafanuzi kwa wananchi mbalimbali walipotembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara  leo jijini Dar es salaam kujionea shughuli mbalimbali zinazoendeshwa na Chuo hicho.
Meneja Mawasiliano wa Mfuko wa Changamoto Milenia wa Wizara ya Fedha Magreth Mussai (kushoto) akijibu maswali ya waandishi wa habari leo jijini Dar es salam wakati walipotembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara.
Ofisa Masoko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT), Waziri Ramadhan(kulia) akisikiliza maswali ya mwananchi aliyetaka kujua utaratibu wa kujiwekea akiba katika Mfuko huo. Mwananchi huyo ametembelea Banda la Wizara ya Fedha kwenye maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea jijini Dar es salaam.
Mtalaam wa Mifuko ya Kompyuta kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa BIMA Tanzania Aron Mlaki (kushoto) akimkaribisha mmoja wa wananchi katika banda la Mamlaka hiyo leo kwenye maonesho ya 38 ya Kimatiafa ya Biashara jijini Dar es salam.
Wanchi wakipatiwa maelezo katika Maonesho hayo ya Biashara Kimataifa, Viwanja vya Sabasaba. (Picha zote na Idara ya Habari, Maelezo)

No comments:

Post a Comment