TANGAZO


Tuesday, July 8, 2014

Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mwanamwema akutana na mke wa Mfalme Mswati


IMG_4946
Mke wa Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mama Mwanamwema Shein (kulia), akisalimiana na mke wa kwanza wa Mfalme Mswati wa Swaziland, Mama Nomsa Matsebula, alipofika Ikulu ya Migombani  na ujumbe wake leo, akiwa katika ziara ya siku mbili nchini. (Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu)
IMG_4957
Mke wa Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mama Mwanamwema Shein (kushoto), akizungumza na mke wa kwanza wa Mfalme Mswati wa Swaziland, Mama Nomsa Matsebula, alipofika Ikulu ya Migombani na ujumbe wake leo, akiwa katika ziara ya siku mbili nchini.

No comments:

Post a Comment