TANGAZO


Monday, July 7, 2014

Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe aongoza zoezi la kuchimba mashimo ya nguzo za umeme kuelekea Vijiji cha Nindi, Ntumbati na Lupingu


Mbunge wa Ludewa, Mheshimiwa Deo Filikujombe (kushoto) akipata maelezo toka kwa mtaalam wa Tanesco wakati wa zoezi la kuchimba mashimo ili kuweka guzo za umeme kuelekea kijiji cha Nindi, Ntumbati na Lupingu mapema leo, asubuhi Julai 7, 2014. (Picha zote na Sheila Simba)
Mtaalamu toka Tanesco akitoa maelezo kwa Mbunge wa Ludewa Deo Fillikujombe wakati wa zoezi la kuongoza wananchi wa Ludewa kuchimba na kuweka guzo za umeme kuelekea Vijiji vya Nindi, Ntumbati na Lupingu mapema leo asubuhi Julai 7, 2014.
Wananchi wa kijiji cha Nindi, Ludewa wakikagua nguzo kabla ya zoezi la kuchimba mashimo.
Wananchi wa kijiji cha Nindi, Ludewa wakikagua nguzo kabla ya zoezi la kuchimba mashimo.

No comments:

Post a Comment