TANGAZO


Monday, July 7, 2014

Malkia wa Swaziland Matsebula awasili Zanzibar


 Mke wa Kwanza wa Mfalme Mswati wa Swaziland Queen Nomsa  Matsebula akivishwa shada la maua baada ya kuwasili Zanzibar kwa ziara ya kikazi ya siku mbili,ambapo atatembelea sehemu mbalimbali ikiwa pamoja na Kizimbani,Shangani na Mji mkongwe wa Zanzibar.
Mke wa Kwanza wa Mfalme Mswati wa Swaziland, Malkia Nomsa  Matsebula (katikai) akifuatana na Waziri wa Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii, Vijana Wanawake na Watoto, Zainabu Omar  (wa kwanza kushoto) baada ya kuteremka Uwanja wa Ndege wa Zanzibar. (Picha zote na Idara ya Habari, Maelezo-ZNZ).
Mke wa Kwanza wa Mfalme Mswati wa Swaziland Queen Nomsa  Matsebula kushoto akibadilishana mawazo na Waziri wa Uwezeshaji Ustawi wa Jamii Vijana Wanawake na Watoto Zainabu Omar katika Ukumbi wa Uwanja wa ndege mara baada ya kuwasili Zanzibar kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.

No comments:

Post a Comment