Ofisa Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi
ya mwaka 2012, kutoka Ofisi wa Taifa ya Takwimu(NBS)Veronica Kazimoto akitoa
mada juu ya majukumu ya vyombo vya habari kwa waandishi wa habari katika
kuelimisha jamii juu ya Chapisho la Tatu la taarifa za msingi za
Kidemografia ,Kijamii na Kiuchumi linalotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya
mwaka 2012 kwenye hoteli ya Peacock jijini Dar es Salaam.
Mratibu
wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 kutoka Ofisi wa Taifa ya Takwimu (NBS) Irenius
Ruyobya akitoa mada juu ya matokeo muhimu ya Chapisho la Tatu la taarifa
za msingi za Kidemografia,Kijamii na Kiuchumi linalotokana na Sensa ya Watu na
Makazi ya mwaka 2012 kwa waandishi wa habari, kwenye hoteli ya Peacock, jijini
Dar es Salaam.
Ofisa wa Teknolojia ya Habari, Bakari Omary kutoka
Ofisi wa Taifa ya Takwimu (NBS) akitoa mada kuhusu namnaya kupata Takwimu
kupitia Tovuti kwa waandishi wa habari kwenye hoteli ya Peacock jijini Dar es
Salaam. (Picha zote na Magreth Kinabo – Maelezo)

No comments:
Post a Comment