Rais Kikwete akutana na mjumbe maalum wa Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalumu wa
Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa
nchi hiyo Mama Maite Nkoana-Mashabane, Ikulu jijini Dar es salaam leo
Mei 6, 2014.Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernad Membe alikuwepo pia. (Picha zote na IKULU)
Rais
Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Mjumbe Maalumu wa
Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini, ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa
nchi hiyo, Mama Maite Nkoana-Mashabane, Ikulu jijini Dar es Salaam leo
Mei 6, 2014. Katikati ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernad Membe.
No comments:
Post a Comment