Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe, Mama Salma Kikwete wakitoa
heshima zao za mwisho katika Kanisa la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
jijini Dar es salaam wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Ernesti B.
Ngereza, aliyekuwa mfanyakazi wa Ikulu aliyefariki dunia Mei 5, 2014,
kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda nyumbani kwa marehemu Lushoto,
Mkoani Tanga Ijumaa Mei 6, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakijumuika na
waombolezaji wengine katika Kanisa la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
jijini Dar es salaam wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Ernesti B.
Ngereza, aliyekuwa mfanyakazi wa Ikulu aliyefariki dunia Mei 5, 2014,
kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda nyumbani kwa marehemu Lushoto,
Mkoani Tanga Ijumaa Mei 6, 2014. (Picha zote na IKULU)
No comments:
Post a Comment