TANGAZO


Monday, June 23, 2014

Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilal azindua mtambo wa maji taka wa Kiwanda cha Serengeti cha Mwanza

IMG_0052 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akikatautepe kuzindua mtambo wa Maji taka ya kiwanda cha Serengeti cha Mjini Mwanza kulia Mwenyekiti wa Bodi Nehemiah Mchechu kushoto Mkurugenzi Mtendaji Bw Steve Gannon.
IMG_0058 
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akifungua kipazia kuzindua Mtambo wa Maji taka wa Kiwanda cha Serengeti cha Mjijini mwanza kushoto Mwenyekiti wa Bodi ya kiwanda cha Serengeti.
 
  IMG_0072 
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akipata maelezo kwa Inspekta wa Mazingira Bi Anna Mangara juu ya maji yaliyosafishwa kwenye Mtambo wakusafishia Maji taka kwenye kiwanda cha serengeti cha mjini mwanza.
IMG_0080 
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akisalimia wananchi wakati wa uzinduzi wa Mtambo wa Maji taka wa Kiwanda cha Serengeticha mjini Mwanza.
IMG_0099 
 
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib bilal wakizungumza jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Kiwanda cha Serengeti cha Mwanza Bw Nehemia Mchechu wakati wa Uzinduzi wa mtambo wa kusafishia Maji taka ya kiwanda cha aserengeti cha jijini Mwanza.
IMG_0129 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akiwa katika picha ya Pamoja na wafanyakazi wa kike wa Kiwanda cha Serengeti cha Jijini Mwanza.

1 comment:

  1. Nasikitika waandishi hawawi wazi kueleza hicho kiwanda ni cha maji au cha kutengeneza pombe ya bia? Kama ni pombe ya bia Uislamu unasema kuwa pombe ni haramu! Anaye kunywa, anaye tengeneza, anayesaidia kumpelekea vifaa vya mtengenezaji na mnywaji huvunja maagizo ya Mungu kuwa pombe ni mbaya, hivyo ameshiriki katika madhara yataokanayo na unywaji wa bia au pombe. Tujadili!

    ReplyDelete