Wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun, wakiwa katika picha ya pamoja na zana zao, za kufanyia usafi nje ya hoteli hiyo, kabla kuelekea kwenye Fukwe ya Bahari ya Hindi kwa ajili ya kufanya usafi wa mazingira, ikiwa ni katika kuaadhimisha Siku ya Mazingira Duniani leo, Juni 5, 2014, jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun, wakiwa katika picha ya pamoja na zana zao, za kufanyia usafi nje ya hoteli hiyo, kabla kuelekea kwenye Fukwe ya Bahari ya Hindi kwa ajili ya kufanya usafi wa mazingira, ikiwa ni katika kuaadhimisha Siku ya Mazingira Duniani leo, Juni 5, 2014, jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun, wakitoka na zana za kufanyia usafi kwa ajili ya kufanya usafi hotelini hapo pamoja na kwenye Fukwe ya Bahari ya Hindi, ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani leo, Juni 5, 2014, jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Vyakula na Vinywaji wa Hoteli ya Southern sun, Ross Mackay (kushoto), akipiga picha ya kumbukumbu pamoja na wafanyakazi wa hoteli hiyo, nje ya hoteli wakati wafanyakazi walipokuwa wakiadhimisha Siku ya Mazingira kwa kufanya usafi maeneo ya haoteli na Fukwe ya bahari ya Hindi, karibu na Viwanja vya Gymkhana, jijini Dar es Salaam leo.
Wafanyakazi wa Hoteli ya southern Sun wakipiga picha ya ukumbusho pamoja na baadhi ya viongozi wa hoteli hiyo, nje ya hoteli wakati walipokuwa wakiadhimisha Siku ya Mazingira kwa kufanya usafi maeneo ya haoteli na Fukwe ya bahari ya Hindi, karibu na Viwanja vya Gymkhana, jijini Dar es Salaam leo.

Wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun, wakiwa na zana za kufanyia usafi kwa ajili ya kufanya usafi hotelini hapo pamoja na kwenye Fukwe ya Bahari ya Hindi, ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani leo, Juni 5, 2014, jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun, wakifanya usafi nje ya hoteli hiyo, kabla ya kuelekea kwenye Fukwe ya Bahari ya Hindi, ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani leo, Juni 5, 2014, jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun, wakifanya usafi nje ya ya hoteli hiyo, kabla ya kuelekea kwenye Fukwe ya Bahari ya Hindi, ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani leo, Juni 5, 2014, jijini Dar es Salaam.
Kutoka kushoto Meneja Masoko, Punim Kanabar, Mhasibu Mkuu wa Hoteli, Daudi Kassone na Meneja Msaidizi, Zainab Mabogga, wakipozi kwa picha wakati wa shughuli hiyo ya usafi wa mazingira.
Meneja Msaidizi wa Hoteli, Zainab Mabogga (kulia), akielekeza jambo kwa wafanyakazi, wakati wa shughuli hiyo ya usafi wa mazingira.
Baadhi ya wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun, wakioneshana jambo na wengine kufurahia kitu, wakati wa shughuli hiyo ya usafi wa mazingira.
Meneja Msaidizi wa Hoteli, Zainab Mabogga (kulia), akipozi kwa picha pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa hoteli hiyo, wakati wa shughuli hiyo, ya usafi wa mazingira hotelini hapo kabla ya kuelekea kwenye fukwe ya Bahari ya Hindi kufanya usafi.
Meneja Msaidizi wa Hoteli, Zainab Mabogga (wa pili kulia) na Meneja Mauzo, Punim Kanabar (wa kwanza kulia), wakipozi kwa picha pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa hoteli hiyo, wakati wa shughuli hiyo, ya usafi wa mazingira hotelini hapo, kabla ya kuelekea kwenye fukwe ya Bahari ya Hindi kufanya usafi.
Meneja Mauzo wa Hoteli ya Southern Sun, Punim Kanabar (kulia), akijadili jambo na Msimamizi wa Jikoni, Said Khamis, wakati wa shughuli hiyo, ya usafi wa mazingira hotelini hapo, kabla ya kuelekea kwenye fukwe ya Bahari ya Hindi kufanya usafi.
Meneja Mauzo wa Hoteli ya Southern Sun, Punim Kanabar (wa kwanza kushoto), akiwa pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa hoteli hiyo, wakielekea kwenye fukwe ya Bahari ya Hindi kwa ajili ya kufanya usafi, ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani.
Meneja Mauzo wa Hoteli ya Southern Sun, Punim Kanabar (kushoto), pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa hoteli hiyo, wakiwa kwenye maeneo ya fukwe ya Bahari ya Hindi kwa ajili ya kufanya usafi wa mazingira katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun, wakifanya usafi kwenye fukwe ya Bahari ya Hindi katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun, wakiadhimisha Siku ya Mazingira Duniani kwa kufanya usafi kwenye fukwe za Bahari ya Hindi, karibu na maeneo ya Viwanja vya Gykhana, Dar es Salaam leo.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun, wakiadhimisha Siku ya Mazingira Duniani kwa kufanya usafi kwenye fukwe za Bahari ya Hindi, Dar es Salaam leo.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun, wakiwa kazini, wakifanya usafi kwenye fukwe ya Bahari ya Hindi katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani.
Baadhi ya wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun, wakivaa vikingia uchafu (glovu), kabla ya kuanza kufanya usafi wa mazingira kwenye fukwe ya Bahari ya Hindi katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani.
Meneja Mauzo wa Hoteli ya Southern Sun, Punim Kanabar (kushoto), akiwaongoza wafanyakazi wa hoteli hiyo, kufanya usafi kwenye fukwe ya Bahari ya Hindi katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun, wakiadhimisha Siku ya Mazingira Duniani kwa kufanya usafi kwenye fukwe za Bahari ya Hindi, karibu na maeneo ya Viwanja vya Gykhana, Dar es Salaam leo.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun, wakiadhimisha Siku ya Mazingira Duniani kwa kufanya usafi kwenye fukwe za Bahari ya Hindi, karibu na maeneo ya Viwanja vya Gykhana, Dar es Salaam leo.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun, wakifanya usafi kwenye fukwe za Bahari ya Hindi, karibu na maeneo ya Viwanja vya Gykhana, Dar es Salaam leo, kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani.
Baadhi ya wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun, wakiokota takataka na kuziweka kwenye mifuko maalum kwa ajili ya kuondoka nazo na kwenda kuzitupa kwenye Dampo, ikiwa katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani.
Baadhi ya wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun, wakizoa na kuziweka takataka kwenye mifuko maalum kwa ajili ya kuondoka nazo na kwenda kuzitupa kwenye Dampo, ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun, wakiokota takataka na kuziweka kwenye mifuko maalum kwa ajili ya kuondoka nazo na kwenda kuzitupa kwenye Dampo, ikiwa katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani.
Baadhi ya wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun, wakiokota takataka na kuziweka kwenye mifuko maalum kwa ajili ya kuondoka nazo na kwenda kuzitupa kwenye Dampo, ikiwa katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun, wakiokota takataka na kuziweka kwenye mifuko maalum kwa ajili ya kuondoka nazo na kwenda kuzitupa kwenye Dampo, ikiwa katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun, wakiokota takataka na kuziweka kwenye mifuko maalum kwa ajili ya kuondoka nazo na kwenda kuzitupa kwenye Dampo, katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun, wakiokota takataka na kuziweka kwenye mifuko maalum kwa ajili ya kuondoka nazo na kwenda kuzitupa kwenye Dampo, ikiwa katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun, wakiziweka kwenye buti la gari, takataka walizozikusanaya na kuziweka kwenye mifuko maalum kwa ajili ya kuondoka nazo na kwenda kuzitupa kwenye Dampo, ikiwa katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani.

Wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun, wakiwa tayari kuondoka kwenye fukwe ya Bahari ya Hindi kuelekea kazini baada ya kumaliza kazi yao ya kusafisha mazingira katika eneo hilo.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun, wakiingia kwenye gari tayari kuondoka kwenye fukwe ya Bahari ya Hindi kuelekea kazini baada ya kumaliza kazi yao ya kusafisha mazingira katika eneo hilo.
baadhi ya wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun, wakiwa kazini baada ya kumaliza kazi yao ya kusafisha mazingira katika maeneo ya Hoteli na fukwe ya Bahari ya Hindi, karibu na maeneo ya Viwanja vya Gymkhana, jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment